Kama kusoma hamjui na picha pia hamuoni?TFF rudieni kuangalia tena na tena hii mechi ya leo mtagundua kitu

Waumbuke Mara ngapi Sasa hata kwenye draw hawapi ya michuano ya Afrika.
 
Sasa unaongea nini unakutana na zalan fc team week nzima ipo njiani mkaja mkakutana na jwaneng galaxy iliyoshuka daraja lete hyo list ya team ngumu mlizokutana nazo mpaka mkafika final mimi nasema mlikutana na vibonde.
Na wewe leta list ya timu ulizokutana nazo kwenye ilo kombe lenu la vikoba mpaka mmeingia robo na ubora wao tuone ni timu za aina Gani!
 
Katika mechi zilizobaki, kuna mechi kadhaa uto ana uwezekano mkubwa wa kufungwa msimu huu. Mechi hizo ni pamoja na ya Simba na Azam.
Umegeuka sheikh yahya,,uwezekano kwa lipi labda taja sababu zinazoeleweka!
 
Nimetoa mfano wa tukio hilo moja wapo linaloonesha kasoro kubwa ya kiushindani.kufungwa sio tatizo kama fight spirit itaonekana.Refer mechi ya Simba na Fountain Gate,uliona upambanaji wa Fountain Gate ulinganishe na kilichoonekana leo?.
Vipi kuhusu Tabora United iliyocheza na Yanga nakuifunga magoli 3 na ile Tabora United iliyocheza na Simba na kufungwa? Je, walikuwa wana hiyo fighting spirit? Au na wenyewe ni tawi lenu?
 
Katika mechi zilizobaki, kuna mechi kadhaa uto ana uwezekano mkubwa wa kufungwa msimu huu. Mechi hizo ni pamoja na ya Simba na Azam.
Tukubaliane hapa! Na hizo mechi zote mbili mkipigwa, tusisikie malalamiko ya aina yoyote. Na uzuri mwamuzi lazima tu atakuwa ni Arajiga.
 
Kati ya hzo sita mechi ya Simba na yanga itoe hapo mana Hawa washakua wateja sasa.
 
Acha ushabiki sometimes tuongee football haiwajengi hii inawabomoa.
Tunawasubiria mng'oe viti kwa mara ya tatu kwenye mechi ya tarehe 8. Maana mkikosa cha kulalamikia mnakimbilia kung'oa viti vya uwanja wa Taifa.
 
Sasa unaongea nini unakutana na zalan fc team week nzima ipo njiani mkaja mkakutana na jwaneng galaxy iliyoshuka daraja lete hyo list ya team ngumu mlizokutana nazo mpaka mkafika final mimi nasema mlikutana na vibonde.
Rivers na marumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…