Wacha uwongo, unaishi Tanzania gani na sisi tunaishi wapi?? Yaani unalinganisha uhuru wa kuongea kipindi cha Samia na Magufuli?? Wewe una agenda yako tu iandike kwa uwazi lakini wacha kumchafua Samia.Kadri siku zinavyoenda ndoto zangu za kuona ukurasa mpya umefunguliwa kutoka kwa Rais wangu zinapotea. Vitisho vilivyokuwepo kwa JPM tukaogopa sasa vimeongezeka. Tunatishwa, kupotezwa ama kuuwawa ama kunyanyaswa kwa namna yeyote ile. Wakulima, wafanyakazi kwa wafanyabiashara wote hatuna amani kwa kukoseshwa haki. Tunalazimishwa kuitenda amani bila kupatiwa haki. Upuuzi mtupu.
Thread yangu ya kwanza kabisa ilikuwa ni kuanzai ukurasa mpya. Mama, mimi sio kwamba ni mtu mwenye shida sana, hapana. Lakini ni mtu ambaye kutenda kwa haki hunifanya nione ukamilifu. Hivi hofu yote hii ni ya nini Mama na Rais wangu?
i. Akina TAL wana hatari gani wakipatiwa haki zao za kisiasa?
ii. Ukiacha kusigina haki ya uhai kwa kuua au kupoteza watu wako manufaa yako ni nini?
iii. Gwajima ametenda lipi baya huyo mwanaume? Na mpina na Mdude Nyagali je?
iv.Kurekebisha Kanuni za Uchaguzi wote wawe na haki ya kushiriki uchaguzi kwa usawa je kutakukosesha ufalme wa Mbinguni?
v. Kubadili Tume ya Uchaguzi ikawekwa iliyo huru je kutakukosesha wewe haki ya kwenda Mbinguni?
vi. Ukielekeza TAL afutiwe makosa yake je atakunyanganya haki yako ya kutunukiwa na Mweneyezi Mungu kuwa ulikuwa mtenda wema duniani?
vii.n.k
Ukweli nina mengi ya kueleza lakini ninahisi kuandika tu humu kunaweza kusisaidie kabisa kueleweka na wewe. Labda nitengeneze attention ya mimi mwenyewe kupigwa risasi hadharani ili tuelewe kuwa kuna watu tunaumia sana na hatuko tayari kuvumilia kuwepo hapa duniani wakati haki za binadamu zinasiginwa wazi wazi na kwa makusudi kabisa!
Siku ikifika mtashuhudia mtu yupo kwenye Mkutano wako Rais anataka auwawe, huyo atakuwa mimi - nitaelekeza nipigwe risasi ya kifuani au kichwa wakati nikirekodiwa huku nikisisitiza watu kupatiwa haki ya kuishi - WASIPOTEZWE au KUUWAWA - WAWE HURU KWA MAONI - WASIBINYWE KWENYE KUCHAGUA UONGOZI, WASISIFISIFIE HOVYO, na mengine meeeeeeeeeengi.
For now msitudangaye na viuno vya wanamuziki na specifically shombo la Magambo!
Magufuli alikuwa anachorwa komwe reeeeeeeeeeeeeeeeeeefuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu lakini hakukasirika kama mama. Labda pale tu Phd yake ilivyojadiliwa!Wacha uwongo, unaishi Tanzania gani na sisi tunaishi wapi?? Yaani unalinganisha uhuru wa kuongea kipindi cha Samia na Magufuli?? Wewe una agenda yako tu iandike kwa uwazi lakini wacha kumchafua Samia.
hapa
Robert Heriel Mtibeli kijana umtakae kapatikana, huyu hata shaba yupo tayari kuipokea.
Una lolote la kuchangia hapa??
Andaeni maandamano, muwekeni chambo.Kijana anatania
Tumbo la nani muhimu kuliko uhai?Iwapo chawa nitakuelewa!Tumbo ni muhimu sana kuliko uhai.
Wala mie sio kijana na wala sitanii! Time will tell!Kijana anatania
Wewe ni pimbi na mpumbavu sana, shenzi, mjinga , mbuzi, wewe ni nguruwe kabisa, wewe ni mtu wa hovyo, mpuuzi usiye na adabu, huna maana, wewe ni nguchiro kabisa, wewe ni nyani mzee, wewe mtu gani unakera hivi? 😪Wacha uwongo, unaishi Tanzania gani na sisi tunaishi wapi?? Yaani unalinganisha uhuru wa kuongea kipindi cha Samia na Magufuli?? Wewe una agenda yako tu iandike kwa uwazi lakini wacha kumchafua Samia.
Wewe ni pimbi na mpumbavu sana, shenzi, mjinga , mbuzi, wewe ni nguruwe kabisa, wewe ni mtu wa hovyo, mpuuzi usiye na adabu, huna maana, wewe ni nguchiro kabisa, wewe ni nyani mzee, wewe mtu gani unakera hivi?
Sawa mkuu, na mimi nishachoka sana, nimepoteza ndugu na watanzania wenzangu wengi sanaPunguza hasira ndg Mtanzania
Tanzania ni kubwa hata Kizimkazi ni sehemu ya Tanzania pengine wewe unaishi huko ya huku Tanganyika huyajui.Wacha uwongo, unaishi Tanzania gani na sisi tunaishi wapi?? Yaani unalinganisha uhuru wa kuongea kipindi cha Samia na Magufuli?? Wewe una agenda yako tu iandike kwa uwazi lakini wacha kumchafua Samia.
Walioshika uhuru wakoTumbo la nani muhimu kuliko uhai?Iwapo chawa nitakuelewa!
Chagua basi tusi moja ndiyo italeta sense. Siwezi kuwa nguruwe na wakati huohuo nyani halafu nguchiro.Wewe ni pimbi na mpumbavu sana, shenzi, mjinga , mbuzi, wewe ni nguruwe kabisa, wewe ni mtu wa hovyo, mpuuzi usiye na adabu, huna maana, wewe ni nguchiro kabisa, wewe ni nyani mzee, wewe mtu gani unakera hivi? 😪
Mimi najuwa Tanganyika iliisha tarehe 26/04/1964Tanzania ni kubwa hata Kizimkazi ni sehemu ya Tanzania pengine wewe unaishi huko ya huku Tanganyika huyajui.
Magufuli hakuwahi kufunga kanisa au misikiti.Chagua basi tusi moja ndiyo italeta sense. Siwezi kuwa nguruwe na wakati huohuo nyani halafu nguchiro.
Ila kumbuka Magufuli alikuwa ni shetani ndani ya mwili wa binadamu
Sasa kile kijiwe cha Gwajima cha Ufufuo na uzima ni Kanisa? Acheni mzaha na UKRISTUMagufuli hakuwahi kufunga kanisa au misikiti.
Shetani ni roho na huwa haifi inaweza kuhamia popote ikipewa nafasi.