Kadri siku zinavyoenda ndoto zangu za kuona ukurasa mpya umefunguliwa kutoka kwa Rais wangu zinapotea. Vitisho vilivyokuwepo kwa JPM tukaogopa sasa vimeongezeka. Tunatishwa, kupotezwa ama kuuwawa ama kunyanyaswa kwa namna yeyote ile. Wakulima, wafanyakazi kwa wafanyabiashara wote hatuna amani kwa kukoseshwa haki. Tunalazimishwa kuitenda amani bila kupatiwa haki. Upuuzi mtupu.
Thread yangu ya kwanza kabisa ilikuwa ni kuanzai ukurasa mpya. Mama, mimi sio kwamba ni mtu mwenye shida sana, hapana. Lakini ni mtu ambaye kutenda kwa haki hunifanya nione ukamilifu. Hivi hofu yote hii ni ya nini Mama na Rais wangu?
i. Akina TAL wana hatari gani wakipatiwa haki zao za kisiasa?
ii. Ukiacha kusigina haki ya uhai kwa kuua au kupoteza watu wako manufaa yako ni nini?
iii. Gwajima ametenda lipi baya huyo mwanaume? Na mpina na Mdude Nyagali je?
iv.Kurekebisha Kanuni za Uchaguzi wote wawe na haki ya kushiriki uchaguzi kwa usawa je kutakukosesha ufalme wa Mbinguni?
v. Kubadili Tume ya Uchaguzi ikawekwa iliyo huru je kutakukosesha wewe haki ya kwenda Mbinguni?
vi. Ukielekeza TAL afutiwe makosa yake je atakunyanganya haki yako ya kutunukiwa na Mweneyezi Mungu kuwa ulikuwa mtenda wema duniani?
vii.n.k
Ukweli nina mengi ya kueleza lakini ninahisi kuandika tu humu kunaweza kusisaidie kabisa kueleweka na wewe. Labda nitengeneze attention ya mimi mwenyewe kupigwa risasi hadharani ili tuelewe kuwa kuna watu tunaumia sana na hatuko tayari kuvumilia kuwepo hapa duniani wakati haki za binadamu zinasiginwa wazi wazi na kwa makusudi kabisa!
Siku ikifika mtashuhudia mtu yupo kwenye Mkutano wako Rais anataka auwawe, huyo atakuwa mimi - nitaelekeza nipigwe risasi ya kifuani au kichwa wakati nikirekodiwa huku nikisisitiza watu kupatiwa haki ya kuishi - WASIPOTEZWE au KUUWAWA - WAWE HURU KWA MAONI - WASIBINYWE KWENYE KUCHAGUA UONGOZI, WASISIFISIFIE HOVYO, na mengine meeeeeeeeeengi.
For now msitudangaye na viuno vya wanamuziki na specifically shombo la Magambo!