Kama kweli Ayatollah wamemla kichwa, basi hao Wairan kichwani hamna kitu kabisa!

Kama kweli Ayatollah wamemla kichwa, basi hao Wairan kichwani hamna kitu kabisa!

Waliwalisha taarifa fake kuwa Usiku Marekani itashambulia wakijua kitafanyika kikao, na Israeli haina historia ya kuanza mashambulizi mchana, na radar mpya za wachina zikawapa imani shambulio lolote la anga lazima watajua kabla halijafika Iran...kumbe wasela lengo lao wafanye kikao alafu wale vichwa viwili vitatu kwa mpigo
Ushirikiano na Mchina ni mtego mkubwa sana.
 
Hao Iran intelijensia yao imeringiliwa vya kutosha hawana siri hasa za mahala walipo viongozi wao. Wanachomana kimyakimya.


Ingawa inafikirisha kinamna kumuua Babu wa miaka themanini na tisa.

Irani wajilaumu kwa kutounda bomu la nyuklia. Wababe wa dunia wanaenda kuivuruga na kuigawa inchi yao vipande vipande ili kuhakikisha hawatorudia tena na kuwa tishio kwa Israeli
 
Iran pigeni kazi mi nimeshabet teyari msiniangushe.
Nalog off Z
 
😂😂😂

Haya nyie Wairan wa Kiuruwi mkuje hapa.

Babu yenu keshakatwa shingo huko.

Nyie watu ni mazuzu sana.

Hivi kwa mfano mnadhani Netanyahu huwa analala sehemu moja na kwenda ofisini kwenye ofisi yake ya kawaida hususan nyakati kama hizi?

Good riddance.
 
Aibu na naona mimi,Iran ni mazuzu inaelezwa viongozi 40 wa juu wa Serikali na Jeshi waneliwa kichwa kwa mkupuo mmoja,hawakujifunza yale ya mwaka jana au ndio walidanganywa na machumachuma ya kichina na Russia.
Hahaaaa yaani jamaa ni mazuzu aisee!

Hayana akili kabisa.

Yana linchi likubwa lakini yanauliwa kiboya boya kama sisimizi.
 
Mpaka sasa bado hakuna uthibitisho kama kweli amekufa au bado yuko hai.

Ila, kama amekufa, basi atakuwa kafa kiboya sana sawa na wale majenerali wake walioliwa vichwa kipindi kile cha vita vya siku 12.

Iweje siku ya kwanza tu wanakukula kichwa kizembe namna hiyo?

Nchi kubwa namna hiyo unakosaje pa kujificha?

Lakini yawezekana pia Israel wanataka kucheza na akili za Wairan halafu katika kuthibitisha kuwa Ayatollah bado yu hai, bila kujua wanataja alipo halafu Israel wanaenda kumla kichwa kikwelikweli.

Maana vita si mabomu tu. Hata propaganda na psychological warfare nazo ni sehemu ya mbinu za kivita.

Hisia zangu na kwa kutumia uzoefu wangu wa kuyasoma mambo, uwezekano wa kuwa Ayatollah kauliwa ni mkubwa kiasi maana Wairan washajionyesha kuwa ni watu wasio na akili kivile.

Si ajabu hilo li Ayatollah limeliwa kichwa likiwa linapata staftahi.
Ujasusi baba.

Mossad + CIA. Wanasema wana video hadi za mwili ukifukuliwa
 
Mimi nimewaza tu huenda ni mapandikizi wa Mossad wakishirikiana na wasaliti ndani ya Iran
Wamewawekea vitu vinavyowaona viongozi hao wote mahali walipo

Trump Alisema anajua Khamenei alipo na akitaka anamuuwa
Hii ilikuwa wakati Iran kaishambulia Israel.

Sijui wamewekea chip kupitia zile salaam za mikono au kwa simu zao no one knows

Labda Baada ya miaka 50 watakuja kutoa Siri hii

Hakuna anaependa kufa hivyo, lazima kuna kitu
Kwani angeshindwa hata kwenda Karbala
 
Back
Top Bottom