Kama kweli Ayatollah wamemla kichwa, basi hao Wairan kichwani hamna kitu kabisa!

Kama kweli Ayatollah wamemla kichwa, basi hao Wairan kichwani hamna kitu kabisa!

Inashangaza sana kama kwa miaka yote hiyo hawa Wairan hawakuwa na mbinu madhubuti ya kumhami kiongozi wao dhidi ya mashambulizi ya kushtukiza toka kwa mahasimu wao IL&USA.

Kweli hawapo vizuri upstairs. Mbwembwe zote zile kumbe mazuzu tu...!
Iran nimewashusha vyeo vyote Afadhali ya Sudan
 
Mpaka sasa bado hakuna uthibitisho kama kweli amekufa au bado yuko hai.

Ila, kama amekufa, basi atakuwa kafa kiboya sana sawa na wale majenerali wake walioliwa vichwa kipindi kile cha vita vya siku 12.

Iweje siku ya kwanza tu wanakukula kichwa kizembe namna hiyo?

Nchi kubwa namna hiyo unakosaje pa kujificha?

Lakini yawezekana pia Israel wanataka kucheza na akili za Wairan halafu katika kuthibitisha kuwa Ayatollah bado yu hai, bila kujua wanataja alipo halafu Israel wanaenda kumla kichwa kikwelikweli.

Maana vita si mabomu tu. Hata propaganda na psychological warfare nazo ni sehemu ya mbinu za kivita.

Hisia zangu na kwa kutumia uzoefu wangu wa kuyasoma mambo, uwezekano wa kuwa Ayatollah kauliwa ni mkubwa kiasi maana Wairan washajionyesha kuwa ni watu wasio na akili kivile.

Si ajabu hilo li Ayatollah limeliwa kichwa likiwa linapata staftahi.
Mkuu usisahau pia nguvu kubwa waliyonayo Israel/USA kwenye idara ya INTELLIGENCE

Vita za siku hizi Intel ndio kila kitu
Moles waliopandikizwa Iran ni balaa
 
Mpaka sasa bado hakuna uthibitisho kama kweli amekufa au bado yuko hai.

Ila, kama amekufa, basi atakuwa kafa kiboya sana sawa na wale majenerali wake walioliwa vichwa kipindi kile cha vita vya siku 12.

Iweje siku ya kwanza tu wanakukula kichwa kizembe namna hiyo?

Nchi kubwa namna hiyo unakosaje pa kujificha?

Lakini yawezekana pia Israel wanataka kucheza na akili za Wairan halafu katika kuthibitisha kuwa Ayatollah bado yu hai, bila kujua wanataja alipo halafu Israel wanaenda kumla kichwa kikwelikweli.

Maana vita si mabomu tu. Hata propaganda na psychological warfare nazo ni sehemu ya mbinu za kivita.

Hisia zangu na kwa kutumia uzoefu wangu wa kuyasoma mambo, uwezekano wa kuwa Ayatollah kauliwa ni mkubwa kiasi maana Wairan washajionyesha kuwa ni watu wasio na akili kivile.

Si ajabu hilo li Ayatollah limeliwa kichwa likiwa linapata staftahi.
Mkuu nimeona video TBC ya huko Iran tayari imethibitisha kifo cha huyu jamaa.
 
Waliwalisha taarifa fake kuwa Usiku Marekani itashambulia wakijua kitafanyika kikao, na Israeli haina historia ya kuanza mashambulizi mchana, na radar mpya za wachina zikawapa imani shambulio lolote la anga lazima watajua kabla halijafika Iran...kumbe wasela lengo lao wafanye kikao alafu wale vichwa viwili vitatu kwa mpigo
Ndio maana ya intelijensia ya hali ya juu.

Kupata info ya mahali hicho kikao kitafanyika na muda lazima imefanyika intelligence ya hali ya juu sana na pia lazima katika inner circle yao kuna mole kawauza.

Hawatokuwa na amani kwa muda mrefu sana tayari trust miongoni mwao imeshapungua au kuisha kabisa.
 
Hao Iran intelijensia yao imeringiliwa vya kutosha hawana siri hasa za mahala walipo viongozi wao. Wanachomana kimyakimya.


Ingawa inafikirisha kinamna kumuua Babu wa miaka themanini na tisa.

Irani wajilaumu kwa kutounda bomu la nyuklia. Wababe wa dunia wanaenda kuivuruga na kuigawa inchi yao vipande vipande ili kuhakikisha hawatorudia tena na kuwa tishio kwa Israeli
Nadhani mkuu issue sio umri wake, ni influence na maamuzi ndani ya Iran, ngoja tuone wataendeleaje baada ya kifo cha huyu jamaa
 
Iran jau sana kelele nyingi pigo moja tu kiongozi wao kwisha habari yake si bora Venezuela japo naye alidakwa kizembe.Jamaa wamepoteza pambano sekunde ya kwanza,pigwa KO moja hatari.

Watulize vichwa sasa haya mambo ya kurusha mikuki hovyo hovyo kwa jamaa zao katika imani ni upimbi sasa
 
Mimi nimewaza tu huenda ni mapandikizi wa Mossad wakishirikiana na wasaliti ndani ya Iran
Wamewawekea vitu vinavyowaona viongozi hao wote mahali walipo

Trump Alisema anajua Khamenei alipo na akitaka anamuuwa
Hii ilikuwa wakati Iran kaishambulia Israel.

Sijui wamewekea chip kupitia zile salaam za mikono au kwa simu zao no one knows

Labda Baada ya miaka 50 watakuja kutoa Siri hii

Hakuna anaependa kufa hivyo, lazima kuna kitu
Kwani angeshindwa hata kwenda Karbala
Moja kati ya kombora la Iran lililoanguka huko Dubai n made in Germany, Sasa makobaz kelele tupu kumbe hadi makombora wananunua 😂

Ndo yale yale unasema USA n kafir afu hapo hapo unatumia vitu vilivyotengenezwa na USA 😂 lazima USA wa-track hvy Vitu Kabla ya kuwauzia
 
Iran jau sana kelele nyingi pigo moja tu kiongozi wao kwisha habari yake si bora Venezuela japo naye alidakwa kizembe.Jamaa wamepoteza pambano sekunde ya kwanza,pigwa KO moja hatari.

Watulize vichwa sasa haya mambo ya kurusha mikuki hovyo hovyo kwa jamaa zao katika imani ni upimbi sasa
USA akikutaka n suala la muda tuu, Hakuna yeyote aliyeweza kumsumbua USA labla USA imsumbue USA na sio vinginevyo.

Delay ya matukio hua tunaiona sisi wa nje tuu ila wahusika kila kitu kipo sawa kwa wakati sahihi.
 
Halafu anatokea mtu kutoka nchi ya kajamba nani anasema "who are you"?
Sijui huwa wamevimbewa nini mpaka kusema maneno hayo au tupistol tunawadanganya
Huyu alileta mipasho ya mwambao kwenye mambo serious.
Watu wakiamua kumvalia sura ya kazi anakuwa mpole na mdogo kama piliton.
 
Akifa kitimaa Nchi itakuwa na amani...maana yeye ndio mfadhili wa vurugu na ndio aliyetuma vijana waandamane kupindua Nchi, punde kkitima atashtakiwa kwa uhaini pia
Baada ya hao pia akifa mama yenu kobaz wa tanzagiza nchi itabaki na amani mana aliua watanzania
 
Trump endelea kuwapelekea moto bado wanapumua hawa makobaz, bado kobaz mmoja malaya hapo tanzagiza nae awaishwe akaungane na bikra wngn 72 apelekewe moto na Ayatollah kabla hajachoka
 
Back
Top Bottom