Kama kweli Ayatollah wamemla kichwa, basi hao Wairan kichwani hamna kitu kabisa!

Kama kweli Ayatollah wamemla kichwa, basi hao Wairan kichwani hamna kitu kabisa!

Tupe takwimu.

Kitima ameua watu wangapi, na
Samia ameua watu wangapi.
Wale vijana waliokufa wote kawaua keytima na kundi lake lengo wafanye revolution...kesi ya treason inamsubiri soon! Take it from me
 
Mpaka sasa bado hakuna uthibitisho kama kweli amekufa au bado yuko hai.

Ila, kama amekufa, basi atakuwa kafa kiboya sana sawa na wale majenerali wake walioliwa vichwa kipindi kile cha vita vya siku 12.

Iweje siku ya kwanza tu wanakukula kichwa kizembe namna hiyo?

Nchi kubwa namna hiyo unakosaje pa kujificha?

Lakini yawezekana pia Israel wanataka kucheza na akili za Wairan halafu katika kuthibitisha kuwa Ayatollah bado yu hai, bila kujua wanataja alipo halafu Israel wanaenda kumla kichwa kikwelikweli.

Maana vita si mabomu tu. Hata propaganda na psychological warfare nazo ni sehemu ya mbinu za kivita.

Hisia zangu na kwa kutumia uzoefu wangu wa kuyasoma mambo, uwezekano wa kuwa Ayatollah kauliwa ni mkubwa kiasi maana Wairan washajionyesha kuwa ni watu wasio na akili kivile.

Si ajabu hilo li Ayatollah limeliwa kichwa likiwa linapata staftahi.
Yukoo n mabikiraa 72
 
Moja kati ya kombora la Iran lililoanguka huko Dubai n made in Germany, Sasa makobaz kelele tupu kumbe hadi makombora wananunua 😂

Ndo yale yale unasema USA n kafir afu hapo hapo unatumia vitu vilivyotengenezwa na USA 😂 lazima USA wa-track hvy Vitu Kabla ya kuwauzia
Makombora kila nchi inanunua popote na hata wauzaji ni makampuni tofauti kwa hiyo ni kawaida sana

Huwezi kuacha kula chapati za muislam kisa unawachukia

Iran anatengeneza silaha zake pia lakini sio zote alizonazo anatengeneza yeye tu
 
Kwenye kununua sehemu nyngn ndo hapo maadui wanapata pakuanzia kukuua, Hiyo Ndo point yangu
 
Ayatollah hakuwa Target ya Marekani angeuwawa kitambo tu tangu kiongozi wa Hizbollah anauwawa Tehran.

Kilichofanya auwawe ni shinikizo la Bibi kwa Trump Ayatollah ndio ameonekana kikwazo na Bibi.

Bibi amekwenda Washington mfululizo mara 7, finally Trump amesema Yes.

Sasa hizi kenge zenye kaswende ya Ubongo wakati Marekani inapeleka nyambizi zake Meditteranean walidhani Marekani huwa inafanya maonesho ya silaha kama wao?

Makamanda 48 wanauliwa kwa mpigo halafu mdomo mrefu kumbe bure kabisa kazi kurusha makombora kwa raia bila target yoyote.
 
Mpaka sasa bado hakuna uthibitisho kama kweli amekufa au bado yuko hai.

Ila, kama amekufa, basi atakuwa kafa kiboya sana sawa na wale majenerali wake walioliwa vichwa kipindi kile cha vita vya siku 12.

Iweje siku ya kwanza tu wanakukula kichwa kizembe namna hiyo?

Nchi kubwa namna hiyo unakosaje pa kujificha?

Lakini yawezekana pia Israel wanataka kucheza na akili za Wairan halafu katika kuthibitisha kuwa Ayatollah bado yu hai, bila kujua wanataja alipo halafu Israel wanaenda kumla kichwa kikwelikweli.

Maana vita si mabomu tu. Hata propaganda na psychological warfare nazo ni sehemu ya mbinu za kivita.

Hisia zangu na kwa kutumia uzoefu wangu wa kuyasoma mambo, uwezekano wa kuwa Ayatollah kauliwa ni mkubwa kiasi maana Wairan washajionyesha kuwa ni watu wasio na akili kivile.

Si ajabu hilo li Ayatollah limeliwa kichwa likiwa linapata staftahi.

Lile bwegege sana. Lilikuwa linafururu limevimbiwa watu wamelitwanga hapo hapo.
 
Wale vijana waliokufa wote kawaua keytima na kundi lake lengo wafanye revolution...kesi ya treason inamsubiri soon! Take it from me
Na wewe nae ukiwa unatekenywa-tekenywa na nyungunyungu makalioni unakuwa na kaudhaifu kweli, sijui kwa nini?
 
Inashangaza sana kama kwa miaka yote hiyo hawa Wairan hawakuwa na mbinu madhubuti ya kumhami kiongozi wao dhidi ya mashambulizi ya kushtukiza toka kwa mahasimu wao IL&USA.

Kweli hawapo vizuri upstairs. Mbwembwe zote zile kumbe mazuzu tu...!
Mkuu unaitaje ya kushtukiza? Unajua wao wamejiandaa kwa muda gani? Wamejitahidi kwa uwezo wao! Na ndio maana uharibifu umekuwa mkubwa kwa muda mfupi.
 
Maneno ya mtu aliyekata tama. Pole sana mkuu, nawe umo miongoni mwa watu waliokuwa wanaamini kwamba USA na Israeli zitachakazwa na Iran?
Kwamba hazijachakazwa? Zile picha za uharibifu kwenye miji ya Israel ni za AI? Hivi wagalatia Huwa hamna akili? Mnahisi hii vita ni ya kidini au? Ndiomaana hizo Nchi Huwa wanawapiga shaba kama wanavyofanya Nigeria! Maana nyie ni watu wakufurahia wakifa wasio wa dini yenu au wakionewa.
 
Hivi unamfunga mtu kamba na kumziba uso halafu unamwambia tupigane huku mkimchangia, ni fair? Jamaa iran miaka mingi kapigwa vikwazo lakini jamaa ame advance sana, je asingekuwa na vikwazo vuta picha.
 
Back
Top Bottom