Kama kweli Ayatollah wamemla kichwa, basi hao Wairan kichwani hamna kitu kabisa!

Ushirikiano na Mchina ni mtego mkubwa sana.
 
Hao Iran intelijensia yao imeringiliwa vya kutosha hawana siri hasa za mahala walipo viongozi wao. Wanachomana kimyakimya.


Ingawa inafikirisha kinamna kumuua Babu wa miaka themanini na tisa.

Irani wajilaumu kwa kutounda bomu la nyuklia. Wababe wa dunia wanaenda kuivuruga na kuigawa inchi yao vipande vipande ili kuhakikisha hawatorudia tena na kuwa tishio kwa Israeli
 
Iran pigeni kazi mi nimeshabet teyari msiniangushe.
Nalog off Z
 
😂😂😂

Haya nyie Wairan wa Kiuruwi mkuje hapa.

Babu yenu keshakatwa shingo huko.

Nyie watu ni mazuzu sana.

Hivi kwa mfano mnadhani Netanyahu huwa analala sehemu moja na kwenda ofisini kwenye ofisi yake ya kawaida hususan nyakati kama hizi?

Good riddance.
 
Aibu na naona mimi,Iran ni mazuzu inaelezwa viongozi 40 wa juu wa Serikali na Jeshi waneliwa kichwa kwa mkupuo mmoja,hawakujifunza yale ya mwaka jana au ndio walidanganywa na machumachuma ya kichina na Russia.
Hahaaaa yaani jamaa ni mazuzu aisee!

Hayana akili kabisa.

Yana linchi likubwa lakini yanauliwa kiboya boya kama sisimizi.
 
Ujasusi baba.

Mossad + CIA. Wanasema wana video hadi za mwili ukifukuliwa
 
Mimi nimewaza tu huenda ni mapandikizi wa Mossad wakishirikiana na wasaliti ndani ya Iran
Wamewawekea vitu vinavyowaona viongozi hao wote mahali walipo

Trump Alisema anajua Khamenei alipo na akitaka anamuuwa
Hii ilikuwa wakati Iran kaishambulia Israel.

Sijui wamewekea chip kupitia zile salaam za mikono au kwa simu zao no one knows

Labda Baada ya miaka 50 watakuja kutoa Siri hii

Hakuna anaependa kufa hivyo, lazima kuna kitu
Kwani angeshindwa hata kwenda Karbala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…