MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Nimeskliza hotuba ya Magufuli kwamba kwa mbinu za kisiri walipeleka sampuli za mananasi, mafenesi, oil ya gari na vitu vingine vingi vikakaguliwe kwenye maabara ili kubaini hizi positives zinazotajwa, hizo sampuli zikaonekana kuwa na corona.
Hii inatisha sasa kama ni kweli, aidha
- Watanzania waliopo kwenye maabara ni wazembe wa kufa mtu, hivyo watasema negative au positive kwa chochote bila kuwa makini.
- Hivi vifaa vya kupima Corona vimehujumiwa na kuna kitu kinasukwa cha kutumaliza Afrika.
- Hao waliosema wamepeleka mananasi iwe wanamdaganya rais
Hiyo hotuba itaibua mengi sana, na inaweza ikajadiliwa mpaka Ulaya, maana leo hii tunaambiwa na kuona watu wanakufa kona zote za dunia, so kwa kifupi hawa watu kitu gani kinawaua jameni. Duh! hili lijadiliwe duniani.