Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Mk
Mkuu mbona unalia? Mimi nilitoa maoni yangu tu.Wakenya siwaelewi mnashangilia nini wakati hamjafanya total lockdown na maambukizi ndani ya Nairobi, Mombasa na county nyingine zilizokumbwa na ugonjwa yanaendelea kuongezeka.
Hivi kuzuia watu wasitembee usiku ina maanisha mchana watu hawawezi kuambukizana?
Endeleeni kujifariji tu.
Mimi naona Uganda na Rwanda ndio wanaweza kuwa na moral authority ya kutucheka au kutubeza watanzania sababu wao wamefanya total lockdown, na Uganda kwa taarifa zao hakuna maambukizi mapaya ya ndani kwa ndani (no local transmission of the disease).