Kama kweli, basi Magufuli kwa hili atakuwa ameibua makubwa, Kenya hebu tuliangalie

Kama kweli, basi Magufuli kwa hili atakuwa ameibua makubwa, Kenya hebu tuliangalie

Hii kitu inafikilisha sana inawezekama magufuli hayuko sahihi je India waliovikaa vifaa vya china nao tuwapuuze kuna video niliona pia FBI wanapakia vifaa hivyo vya China vikachomwe hapa kuna kitu kadli siku zinavyokwenda itafaamika
 
Cha msingi acheni kutumia malalamiko ya wahindi kuendesha hoja zenu maana wale walilalamika kwamba vifaa vinashindwa kuona corona, vinakosa uwezo huo.
Sisi tuna hoja kuwa kuna sample za wanyama na matunda na ndege zepelekwa zikaonyesha positive sasa ni wajibu wa dunia hasa WHO kufanya uchunguzi zaidi kama ni vifaa ama uzembe wa wataalam maabara ndiyo maana Rais amesema wachunguze ukweli ni upi? Ni ujinga kupinga changamoto hiyo kabla haijaleta majibu au suruhisho ya changamoto hiyo!
 
Kama ni kweli Magufuli ana Phd in chemistry, nipe link ya academic paper yoyote ambayo amepublish in a peer reviewed journal.
Akikupa nitag mtu kaishia form four C unamuuliza academic papers unamuonea mno
 
MK254,

Huwezi kupumua wala kujamba bila kuisakama Tanzania, cha kufanya ni nyie kupima vitu mbalimbali kwanza kabla ya kuropoka na kuonyesha ujinga wako wa kusema Rais wetu anamaanisha hakuna Korona. Hivyo sivyo alivyosema, amesema yawezekana visa vingine ni negative ila kudaiwa ni positive ot the other way around. Typical haters are idiots tiny brains.
 
Umeweka sawa maeneo kadhaa lakini hilo la kusema watu wanakufa kisa hofu ondokana nalo kabisa, Corona inaua na wengi wa wanaokufa wakipimwa mapafu yanakutwa yamethurika mpaka yanabadilika rangi, acheni hizo propaganda za kuwafanya watu wachukulie hiki kitu poa, kipo na kinaua.

Ninaweza nikakubaliana na ubovu wa vifaa vinavyopima, au uzembe wa wahudumu kwenye maabara, lakini mengine hayo yaacheni, mnaharibu.

Ubovu wa vifaa umetajwa hata India, ila kule walisema vinashindwa kugundua Corona, sio kwamba vinaonyesha ipo.
Alichoonyesha Magufuli ni kwamba haviaminiki, kwamba sio vya kutegemea " unreliability ".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi tuna hoja kuwa kuna sample za wanyama na matunda na ndege zepelekwa zikaonyesha positive sasa ni wajibu wa dunia hasa WHO kufanya uchunguzi zaidi kama ni vifaa ama uzembe wa wataalam maabara ndiyo maana Rais amesema wachunguze ukweli ni upi? Ni ujinga kupinga changamoto hiyo kabla haijaleta majibu au suruhisho ya changamoto hiyo!

Uchunguzi unapaswa kuanzia kwenu hapo kubaini kama ni uzembe wa wahudumu au sampuli zilikua contaminated, hili la contamination liliwahi kufanyika Marekani pia.

Kwa kifupi kuna mdau anaitwa hydrogen ameiweka sawa, kwamba kabla Magufuli hajaongea na vyombo vya habari alipaswa kuamrisha uchunguzi wa haraka wa kubainini nini haswa kimetendeka humo kwenye maabara. Maana sasa tayari kama taifa mtachanganyikiwa na kukosa kujua muamini nani muache nani.
Kuna nadharia nyingi kwenye hili

- Labda uzembe wa maabara
- Contamination ya sampuli
- Ubovu wa vifaa
- Fix ya wanaCCM kujaribu kuondoa aibu ya mkulu asisemwe ikitokea corona inaipiga nchi chini, hasira zielekezwe Ulaya, hapa hata wanaweza wakamdanganya rais.

- Hujuma dhidi ya Tanzania kutoka Ulaya (hili mnapenda kulisema sana kana kwamba dunia imekaa kila siku inawaza kuwahujumu)

Yaani kuna mengi yanayowezekana kuwa kweli, ila ukweli usiopingika, Corona ipo na inaua kwa maelfu, tena kwa kasi na kwanza mataifa ambayo yalikaidi leo hii yanachezea balaa lake.
 
MK254,

Hivi sampuli ya damu na nyingine zinapimwa kwenye mashine ya aina moja?

Ili upeleke lakzima, lazima kuna jambo limekupelekea kutilia shaka majibu... je ni
1. Watumishi waongo
2. Mabeberu
3. Process nzima ya tangu ukusanyaji sampuli hadi upimaji
4. Handling ya sampuli ziwapo eneo la kupimia
5. Muda unaopita tangu kuchukua sampuli hadi kutoa majibu
6. Vifaa vitumikavyo kichukulia sampuli
Au ni nini?

Je wameshawajibishana internally hadi wakaamua kutoka nje..??
 
Rais kalalamika au wewe ndiye unalalamika?

Suluhisho gani ulitegemea atoe zaidi ya kuagiza taasisi na vyombo vinavyohusika kuchunguza zaidi, baada ya kutoa hadharani matokeo ya "rapid test" ya jinsi COVID-19 inavyopimwa nchini?

Pole sana kama wewe ni mmoja wa wana mahabara, imekula kwako, maana umeumbuliwa hadhari michezo yako na wenzio. Km mkojo wangu ulipimwa nikaambiwa nina mimba wakati mimi ni "me"

Badala ya ku-retest watu kutumia aina tofauti ya kipimo unaenda kutest mbuzi na mapapai!! Kweli?

Tatizo la kujifanya unajua kila kitu ndo hii. Rapid test ishalalamikiwa huko duniani hatujaanza sisi sasa ukiniuliza nilitaka atoe suluhisho gani nashindwa nikujibuje coz ipo wazi.

Ishu kubwa ni kudiscredit taasisi kabla hujabaini tatizo lilipo.
 
Mkuu ameibua mjadala mkubwa sana, nina amini asemacho ni kweli.

Hisia zangu zinaniambia sample zinakuwa contaminated wakati wa kuchukua, kusafirisha, au huko maabara.
Au reagent zina tatizo na hii ilitokea hata marekani walitupa na kuagiza mpya.

Mwisho inaweza kuwa kweli kuna hujuma ya ndani au toka nje ya nchi.

Mjadala mzuri sana huu maana mimi nimewahi kuambiwa nina damu group flani na kukapita miaka nikaenda kupima benki ya damu salama nikaambiwa nina group jingine tofauti na la mwazo na zote ni taasisi kubwa za serikali.
Hata mimi niliambiwa ivo 2009 nilipima nilpo kuwa shule nilipo enda jeshini nikaambiwa vingine me nikaahikilia jawabu la kwanza cos nilikuwa natoa damu
 
Magufuli huwa anafikiria sana Mara nyingi, hiyo ndio sifa kuu ya " Scientists " duniani kote, tatizo lake ni kiburi na hasira za haraka.
Ambazo scientist hawezi kuwa nazo.

Sent using iphone pro max
 
Kenya Current Covid19 Update:

Total tests done today: 860 tests
New confirmed cases: 30
Recoveries: 15
Deaths: 2

Total Confirmed cases: 465
Total recoveries: 165
Total deaths: 24
Total tests done : over 24,000

MOH has a target to test 250,000 people by june.
 
Failed attempts by EAC Heads of States to hold a virtual conference on the unfolding Covid-19 pandemic has exposed the widening ideological rift between member countries.

Current chair of the East Africa Community and Rwandan President Paul Kagame last week said the lack of co-ordination at the presidential level has exposed the region to a wider, cross-border spread of the virus.

President Kagame had convened a virtual Heads of States summit on April 15 to discuss joint responses to the pandemic, which has so far infected more than 3.2 million people and killed over 233,000, but only two other presidents were ready to take part.

“The Summit did not happen because a number of countries—three specifically—were not able to connect with the rest of us and all members have to be available for the virtual meeting to take place,” said President Kagame at a Monday press briefing.

While Kenya, Uganda and Rwanda were ready for the meeting, South Sudan, Tanzania and Burundi were not.

Uganda’s President Yoweri Museveni also voiced his frustration at the failure to hold a Heads of States meeting.
 
Ila hii kasi ya maambukizi Kenya pia sio nzuri kabisa, hasa ukizingatia kwamba Kenya wamefunga mipaka na "partial lockdown & evening curfew".

Haraka sana Kenya inahitaji kikombe toka Madagascar kuokoa maisha ya wakenya.

Kila mtu afe na lake kwanza kenya Uganda na Rwanda njia yao inafanana so si wangefanya tu huo mkutano???
Au asipokuwepo brother mkutano haufanyiki? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Ila hii kasi ya maambukizi Kenya pia sio nzuri kabisa, hasa ukizingatia kwamba Kenya wamefunga mipaka na "partial lockdown & evening curfew".

Haraka sana Kenya inahitaji kikombe toka Madagascar kuokoa maisha ya wakenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
We are testing a lot more previously we did 500 a day now we are at over 800 tests a day, this gives us accurate information on how fast the virus is spreading. This also informs the amount of resources we need to put in to fight the spread.

It will also tell us when the curve starts to flatten. Kenya has done over 24,000 tests, this data is important if you are to ascertain the epidemiology of the virus.

What should worry you more, is that Tanzania has not done even half of the tests kenya has done yet your numbers are higher than ours even with all the hiding of information.This shows your rate of infection and spread is higher, that is why GOT is busy jailing journalists, lawyers and activists.
 
Back
Top Bottom