Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Rwanda hawezi kuitisha Uganda, never everRwanda na Uganda watapigana Mara tu Corona itakapokwisha, Kagame anachosubiri ni kupata uhakika toka kwa Magufuli iwapo Tanzania itaendelea kuruhusu vifaa vya kivita vya Rwanda kupitia Dar port wakati WA kipindi chote cha vita.
Ila ninakubaliana na wewe kwamba Tanzania hatupo very much interested na EAC, kumbuka Tanzania kwa sasa ni mwenyekiti na katibu wa SADC, na mwezi uliopita tulifanikisha mkutano wa nchi za SADC kuhusu mapambano ya Corona.
Sent using Jamii Forums mobile app