kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Anafikiriaga nini?Magufuli huwa anafikiria sana Mara nyingi, hiyo ndio sifa kuu ya " Scientists " duniani kote, tatizo lake ni kiburi na hasira za haraka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anafikiriaga nini?Magufuli huwa anafikiria sana Mara nyingi, hiyo ndio sifa kuu ya " Scientists " duniani kote, tatizo lake ni kiburi na hasira za haraka.
Sisi tuna hoja kuwa kuna sample za wanyama na matunda na ndege zepelekwa zikaonyesha positive sasa ni wajibu wa dunia hasa WHO kufanya uchunguzi zaidi kama ni vifaa ama uzembe wa wataalam maabara ndiyo maana Rais amesema wachunguze ukweli ni upi? Ni ujinga kupinga changamoto hiyo kabla haijaleta majibu au suruhisho ya changamoto hiyo!Cha msingi acheni kutumia malalamiko ya wahindi kuendesha hoja zenu maana wale walilalamika kwamba vifaa vinashindwa kuona corona, vinakosa uwezo huo.
Akikupa nitag mtu kaishia form four C unamuuliza academic papers unamuonea mnoKama ni kweli Magufuli ana Phd in chemistry, nipe link ya academic paper yoyote ambayo amepublish in a peer reviewed journal.
Kwani corona inapimwa kwa joto tu??Umepeleka sample ya nanasi lina joto 67 litaacha kuwa na corona?
Alichoonyesha Magufuli ni kwamba haviaminiki, kwamba sio vya kutegemea " unreliability ".Umeweka sawa maeneo kadhaa lakini hilo la kusema watu wanakufa kisa hofu ondokana nalo kabisa, Corona inaua na wengi wa wanaokufa wakipimwa mapafu yanakutwa yamethurika mpaka yanabadilika rangi, acheni hizo propaganda za kuwafanya watu wachukulie hiki kitu poa, kipo na kinaua.
Ninaweza nikakubaliana na ubovu wa vifaa vinavyopima, au uzembe wa wahudumu kwenye maabara, lakini mengine hayo yaacheni, mnaharibu.
Ubovu wa vifaa umetajwa hata India, ila kule walisema vinashindwa kugundua Corona, sio kwamba vinaonyesha ipo.
Sisi tuna hoja kuwa kuna sample za wanyama na matunda na ndege zepelekwa zikaonyesha positive sasa ni wajibu wa dunia hasa WHO kufanya uchunguzi zaidi kama ni vifaa ama uzembe wa wataalam maabara ndiyo maana Rais amesema wachunguze ukweli ni upi? Ni ujinga kupinga changamoto hiyo kabla haijaleta majibu au suruhisho ya changamoto hiyo!
Rais kalalamika au wewe ndiye unalalamika?
Suluhisho gani ulitegemea atoe zaidi ya kuagiza taasisi na vyombo vinavyohusika kuchunguza zaidi, baada ya kutoa hadharani matokeo ya "rapid test" ya jinsi COVID-19 inavyopimwa nchini?
Pole sana kama wewe ni mmoja wa wana mahabara, imekula kwako, maana umeumbuliwa hadhari michezo yako na wenzio. Km mkojo wangu ulipimwa nikaambiwa nina mimba wakati mimi ni "me"
Hata mimi niliambiwa ivo 2009 nilipima nilpo kuwa shule nilipo enda jeshini nikaambiwa vingine me nikaahikilia jawabu la kwanza cos nilikuwa natoa damuMkuu ameibua mjadala mkubwa sana, nina amini asemacho ni kweli.
Hisia zangu zinaniambia sample zinakuwa contaminated wakati wa kuchukua, kusafirisha, au huko maabara.
Au reagent zina tatizo na hii ilitokea hata marekani walitupa na kuagiza mpya.
Mwisho inaweza kuwa kweli kuna hujuma ya ndani au toka nje ya nchi.
Mjadala mzuri sana huu maana mimi nimewahi kuambiwa nina damu group flani na kukapita miaka nikaenda kupima benki ya damu salama nikaambiwa nina group jingine tofauti na la mwazo na zote ni taasisi kubwa za serikali.
Ambazo scientist hawezi kuwa nazo.Magufuli huwa anafikiria sana Mara nyingi, hiyo ndio sifa kuu ya " Scientists " duniani kote, tatizo lake ni kiburi na hasira za haraka.
Ila hii kasi ya maambukizi Kenya pia sio nzuri kabisa, hasa ukizingatia kwamba Kenya wamefunga mipaka na "partial lockdown & evening curfew".Kenya Current Covid19 Update:
Total tests done today: 860 tests
New confirmed cases: 30
Recoveries: 15
Deaths: 2
Total Confirmed cases: 465
Total recoveries: 165
Total deaths: 24
Total tests done : over 24,000
MOH has a target to test 250,000 people by june.
Kila mtu afe na lake kwanza kenya Uganda na Rwanda njia yao inafanana so si wangefanya tu huo mkutano???Failed attempts by EAC Heads of States to hold a virtual conference on the unfolding Covid-19 pandemic has exposed the widening ideological rift between member countries.
Current chair of the East Africa Community and Rwandan President Paul Kagame last week said the lack of co-ordination at the presidential level has exposed the region to a wider, cross-border spread of the virus.
President Kagame had convened a virtual Heads of States summit on April 15 to discuss joint responses to the pandemic, which has so far infected more than 3.2 million people and killed over 233,000, but only two other presidents were ready to take part.
“The Summit did not happen because a number of countries—three specifically—were not able to connect with the rest of us and all members have to be available for the virtual meeting to take place,” said President Kagame at a Monday press briefing.
While Kenya, Uganda and Rwanda were ready for the meeting, South Sudan, Tanzania and Burundi were not.
Uganda’s President Yoweri Museveni also voiced his frustration at the failure to hold a Heads of States meeting.
We are testing a lot more previously we did 500 a day now we are at over 800 tests a day, this gives us accurate information on how fast the virus is spreading. This also informs the amount of resources we need to put in to fight the spread.Ila hii kasi ya maambukizi Kenya pia sio nzuri kabisa, hasa ukizingatia kwamba Kenya wamefunga mipaka na "partial lockdown & evening curfew".
Haraka sana Kenya inahitaji kikombe toka Madagascar kuokoa maisha ya wakenya.
Sent using Jamii Forums mobile app