Kama kweli, basi Magufuli kwa hili atakuwa ameibua makubwa, Kenya hebu tuliangalie

Kama kweli, basi Magufuli kwa hili atakuwa ameibua makubwa, Kenya hebu tuliangalie

Magufuli has messed up. Anatafuta pa kutokea lakini this time mtego wa panya umenasa panya. Hamna pa kutokea. Hata WHO wamekashifu magufuli for lacklustre performance.
so anachosema kuhusu inaccuracy ya either testing machines or testing reagents or kits si kweli? Mbona the UK, Spain na India wame-ban rapid test kits?

U.K. Paid $20 Million for New Coronavirus Tests. They Didn’t Work.

Coronavirus test kits withdrawn in Spain over poor accuracy rate

China tightens coronavirus test kit exports after accuracy questioned

Coronavirus: 3 out of 4 Chinese test kits in Danish study found to have 90 per cent accuracy rate

Kumbuka Magufuli is a chemistry PHD holder don't make ur media propaganda stop sensing logic in his argument! Even if he uses Mabeberu words! Get the right message!

#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy
 
Kama umemsikiliza vizuri Magufuli na ukaweka ushabiki kando, usengeweka hii post.

Magufuli amesema wazi kwamba, kuna uwezekano tatizo lipo kwa wafanyakazi wa maabara na kumtaka Waziri kuchunguza, lakini pia kuna uwezekano tatizo lipo katika vifaa vya upimaji ambavyo vinehidhinishwa na WHO, na kuomba WHO nao wafanye utafiti, pia ameshauri nchi zingine duniani kujaribu kuchunguza kama tatizo kama hilo linatokea katika nchi zao, sasa hapo ulitaka atoe ufumbuzi upi zaidi ya huo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapo unajisumbua kujadiliana na mtu ambae tayari anaongozwa na hisia na mitazamo yake flani aliyo karirishwa kuhusu Magufuli.

Mwenzio hatafuti ukweli bali anatafuta kututhibitishia (prove) ktk mitazamo (perception) yake yupo sahihi kiasi gani.
Na watu kama hao huwa wanatafsiri tofauti kabisa na alicho ongea au kushauri Magufuli ili mradi hiyo tafsiri yake iendane na dhana zake.
 
Kama umemsikiliza vizuri Magufuli na ukaweka ushabiki kando, usengeweka hii post.

Magufuli amesema wazi kwamba, kuna uwezekano tatizo lipo kwa wafanyakazi wa maabara na kumtaka Waziri kuchunguza, lakini pia kuna uwezekano tatizo lipo katika vifaa vya upimaji ambavyo vinehidhinishwa na WHO, na kuomba WHO nao wafanye utafiti, pia ameshauri nchi zingine duniani kujaribu kuchunguza kama tatizo kama hilo linatokea katika nchi zao, sasa hapo ulitaka atoe ufumbuzi upi zaidi ya huo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu lako lipo kwenye comment yangu ya kwanza
This is ludacris!
You shouldn't discredit your institutions in public like that before a comprehensive and conclusive investigation.
 
Magufuli has messed up. Anatafuta pa kutokea lakini this time mtego wa panya umenasa panya. Hamna pa kutokea. Hata WHO wamekashifu magufuli for lacklustre performance.
Wakenya siwaelewi mnashangilia nini wakati hamjafanya total lockdown na maambukizi ndani ya Nairobi, Mombasa na county nyingine zilizokumbwa na ugonjwa yanaendelea kuongezeka.

Hivi kuzuia watu wasitembee usiku ina maanisha mchana watu hawawezi kuambukizana?

Endeleeni kujifariji tu.
Mimi naona Uganda na Rwanda ndio wanaweza kuwa na moral authority ya kutucheka au kutubeza watanzania sababu wao wamefanya total lockdown, na Uganda kwa taarifa zao hakuna maambukizi mapaya ya ndani kwa ndani (no local transmission of the disease).
 
Wakenya nawashauri msijaribu kujifunza au kuiga kutoka kwa Magu, mtapotea mazima. Yule dingi yuko busy kufanya mind game ya kuendelea kuwaongoza watanzania huku akiwa mafichoni.

Mtu mwenye akili timamu kisayansi huwezi kuhoji ubora wa majibu ya vipimo vya maabara ya binadamu kwa kutumia sampuli za mbuzi, kwale, mapapai nk. Hizo zitakuwa n akili za kiuwendawazimu.

Kwa namna rahisi sana alipaswa kuchukua sampuli kutoka kwa binadamu kadhaa na kuzipeleka katika maabara tofauti tofauti duniani na kisha kulinganisha na matokeo ya maabara ya Tanzania ili kuona uwiano wa kushahabiana kimatokeo, kisha ndio atengeneze theory ya kuhoji, kuunga mkono au kupinga matokeo ya maabara ya Tanzania.
 
Ulisoma shule au uliishia " Madrassat" pale Chakechake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Hili Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Ametupa Nafasi Ya Tanzania Na Dunia Kujitafakari Upya Iwapo
Mitambo, Ama Watumiaji Wapo Na Shida Ama Ni Hujuma
Linahitaji tafakari. Lakini ukweli kuwa watu wengi isivyo kawaida duniani wanakufa hauwezi kupingika.

Hili la Tz kutokuwa na upimaji wa kuaminika (kwa sababu yoyote ile) linaweka mashaka makubwa sana kwenye takwimu zilizotolewa na mamlaka za Tz so far. Inaweza kuwa na maana kuwa tatizo pengine kubwa zaidi au pengine dogo kama Rais na baadhi ya watu wengine wanavyojaribu kujenga hoja!

"Trust no body"! Kwenye " vita", victim wa kwanza kabisa huwa ni "ukweli".
 
Magufuli has messed up. Anatafuta pa kutokea lakini this time mtego wa panya umenasa panya. Hamna pa kutokea. Hata WHO wamekashifu magufuli for lacklustre performance.

Kubeza na kulaumu ni kazi rahisi sana, na Ford sliwahi kusema kufikiri ni kazi ngumu sana ndio maana sio kila mtu anaiweza.

Hao WHO ushsuri au mapendekezo yao ni yapi smbayo yameonekana kuleta matokeo chanya na ni kwa nchi ipi?

Anaweza akawa katumia approach mbovu lakini haiondoi hoja kwamba kuna haja ya hivi vifaa na maabara kuchunguzwa, na hili hajaanza kulilalsmikia yeye. Hata India walipiga kelele kuhusu vifaa vya kupimia kutoka China.

Mbona US na WHO wasijikite kufanyia utafiti zaidi dawa iliyotangazwa Madagascar matokeo yake wanatoa vitisho?

Sikubaliani na namna alivyowasilisha hoja yake na baadhi ya misimamo yake lakini haifanyi mambo aliyoyaibua yapuuzwe.
 
Magu amebanwa na utandawazi na kushikwa na kiwewe na wahaka,hivi he,mwanadamu akili razini yuawezaje kulunganisha sampuli za mimea na wanyama?Huo ni ufidhuli mtupu!
 
MK254,
Kitu kimenifanya nikose kuamini Mapadlocks anachosema ni kuwa Karibia kila nchi ya Afrika ikiwemo Kenya, zinatumia reagents na swabs na testing kits za WHO. Sasa itakuwaje, kati ya nchi zaidi ya hamsini ambazo zinapewa testing kits na WHO ni nchi moja tu inacomplain. Kwanza nchi ambayo ni kichwa ngumu imekataa kufanya hata partial lockdown?
 
Back
Top Bottom