Kama kweli CCM mpo kwaajili ya wananchi, Tunaomba 2025 msituletee Rais Samia

Kama kweli CCM mpo kwaajili ya wananchi, Tunaomba 2025 msituletee Rais Samia

Kitaalam Kabisa Inaitwa Kiburi Cha Uzima
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hahah nimecheka lol
 
Mimi kama mwananchi mwenye uhuru wa kutoa maoni nchi hii, naomba niseme kama kweli CCM mko serious kwaajili ya maendeleo ya wananchi tafadhali tunaomba mtuangalizie mtu atakaetufaa 2025

au basi kama mmeamua 2025 ni zamu ya mwanamke basi tunaomba mtuletee jina lingine,

sioni la maana sasaivi zaidi ya vitu kupanda bei, mi sijawai kuona Rais anatoa kauli zinazochochea mfumuko wa bei,

Rais anasema tujiandae kwa mgumuko wa bei haoni kwamba anawapa mianya mafisadi wa kuficha sukari na mafuta wafanye yao?

hivi kweli vita ya ukraine imesababisha hadi sabuni kupanda bei au kuna watu wanamshauri vibaya Raisi? Sera za ovyo kulinda viwanda vya ndani leo hii lita ya mafuta ya kula inauzwa 8000 na Rais haonekani kabisa kujali hilo

aisee hatulaumu sana kwasababu katiba imemlazimu awe hapo alipo lakini naona dalili kabisa kua ameshatamani sipati picha izo kampeni za 2025 atatwambia nn sisi?


Hatutaki sasa
"Tunaomba" au unaomba? Mfumuko wa bei upo dunia nzima na haukwepeki. Kaburu hapa mafuta ya kula 2L yametoka R49 hadi R100 (sawa na sh elfu 14 na ushee) . Hapo sijazungumzia lita ya petrol, sukari, unga wa ngano, bei ya nyama nk, lakini hukuti watu kumtupia lawama raisi maana kila mtu hapa anaelewa hali halisi ya kinachoendelea duniani sasa hivi.
 
Washamba kubalini tuu mmeshindwa na watoto wa mjini
Mama Samia tunaye kwa vipindi viwili, japo mimi sio shabiki wa CCM lakini kwenye mkutano wao wa juzi tumeona dhahiri watampitisha tena.
Ama kwa mfumuko wa bei upo nchi nyingi tuu sio Bongo pekee
 
Mimi siikubali kabisa ccm kwa lolote, lakini kati ya Magufuli na Samia ni bora Samia mara mia. Ccm haileti rais bali ccm ni rubber stamp tu ya rais anayechaguliwa na genge lijiitalo system. Tunataka katiba mpya ili kuondoa huu uhuni wa viongozi.
Sawa kabisa, CCM ni shida kamili ya nchi hii, ila ikiwa ni lazima iwepo, bora Mama kuliko mwendazake

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kutoka moyoni kabisa Sina chuki lakini naombaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaassssaaaaana 2025 CCM msituleteee Samia naombeni nyie mnaopitisha majina ya wagombea msituleteee mgombea huyo ,sisemi zaidi sababu kwa Sasa Ni mkuu wa nchi ila Hilo Moja zingatieni saana 2025 msituleteee Samia Kama mgombea uraisi
 
Back
Top Bottom