Kwanza siamini kama hiyo keybord umetype wewe. Lakini katika kuamini kuwa binadamu hujirudi basi ngoja nikujibu.
Tuna watu wengi walikokuwa na mawazo kama ya kwako yale ya zamani, bado wapo wengi.
.wanaamini uchumi huendana na kuua watu
.wanaamini mawazo mbadala ni uadui
.wanaamini ukiwa rais au waziri au mkuu wa mkoa huwezi kosea
Na mengi tu ambayo yanakinzana na ustaarabu wa binadamu.
.utawasikia "demokrasia tuidefine kiafrika ,,lakini maana yao ni kwamba wanenjoy kutesa waafrika wenzao na kuendelea kubakia madarakani.
.Ghadafi alikuwa mtesaji lakini huku nje tulimwona ni kiongozi bora kwasababu alikuwa anagawa hela kwa baadhi ya wananchi wake na aliimarisha uchumi wa Libya... matokeo ya ukatili wake yameendelea kutoa matunda ya ukatili nchini Libya hadi leo hii ,,kwani visasi havijaisha kwa waliokuwa wameumizwa.
Kabla ya Katiba ipatikane kwanza tume huru ya uchaguzi, baada ya kupata wawakilishi wa kweli ndipo sasa ho watusaidie kutengenezea katiba mpya yenye maslahi kwa watanzania wote, lakini hawa waliopo tukisema watengeneze katiba watatuletea kituko cha karne.
KITUKO CHA KARNE.
Sent from my SM-A207F using
JamiiForums mobile app