Kama kweli jamaa anajiamini yeye ni mwanaume kweli afanye hivi

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Kama kweli anajiamini yeye ni kidume asijifiche ajichanganye hadharani kama zamani. Aende sokoni kama kariakoo. Asitumie sana usafiri binafsi. Asijifiche jifiche. Hapo nitamuamini jamaa kweli mwanaume.

Ila kwa wabongo wanavyokera utasikia huyooo huyoooo kachapiwaaa huyooo huyoo kagongewa. Yaani mkono unaweza kutembezwa balaa.
 
Mwanaume anayewaza mambo ya Wanaume wengine hafai
 
Mama mchungaji.
Tena jamaa kwa ule muandiko ni wazi alikuwa hatongozi analilia penzi LILILOKUFA.
Mtu mpaka anajiua sio masikhara
 
Yote kwa yote, hivi ile video ni mama mchungaji kweli? Maana anapakuliwa tope!
 
Kuchapiwa ni siri ya ndani... Hayanga muongozo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…