Kama kweli anajiamini yeye ni kidume asijifiche ajichanganye hadharani kama zamani. Aende sokoni kama kariakoo. Asitumie sana usafiri binafsi. Asijifiche jifiche. Hapo nitamuamini jamaa kweli mwanaume.
Ila kwa wabongo wanavyokera utasikia huyooo huyoooo kachapiwaaa huyooo huyoo kagongewa. Yaani mkono unaweza kutembezwa balaa.
Ila kwa wabongo wanavyokera utasikia huyooo huyoooo kachapiwaaa huyooo huyoo kagongewa. Yaani mkono unaweza kutembezwa balaa.