Kuna tetesi fulani fulani kwamba Kuna jambo fulani limetokea kwa mteule fulani kwenda safari ya mbali ambayo kurudi ni majawaliwa.
Kama ni kweli japo safari hiyo ni ya muhimu, if you read between the lines unaweza kujiuliza yaweza kuwa ni Conspiracy theory ili kuwavunja nguvu hawa wawili na wengine wanaojaribu kutugusa?