Kama kweli Magufuli aliletwa na Mungu basi uchaguzi wa 2025 utakua ni patashika nguo kuchanika

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Hicho ndicho kilichonijia kichwani leo nikiwa natafakari mwenendo wa siasa za Tanzania kwa sasa.

Maswali ni je nani atakubali kusimama na ni nani atakubali mwenzake kusimama.

Itakua nipatashika nguo kuchanika ndani ya vyama na nje ya vyama.
 
Uchaguzi utakuwa rahisi sana huu.Kuna chama kikimpitisha kikamsimika huyu, kitapigwa vibaya sana hata wakiiba kura hazitatosha. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mullah Samia ana Vision ya kuifanya Tanzania kuwa Emirate islamiyaah

Khodhafis.
Kama alivyojaribu Babu yenu Nyerere(mnayetamani kumuabudu) kuifanya Tanzania iwe jamhuri ya kikatoliki lakini akashindwa japo alijaribu kwa mara ya pili kwa kumtumia kibaraka wake Mkapa naye akashindwa na yule mwingine akapaishwa mawinguni kabla hajainajisi kabisa Tanzania yetu.
 
Uchaguzi utakuwa rahisi sana huu.Kuna chama kikimpitisha kikamsimika huyu, kitapigwa vibaya sana hata wakiiba kura hazitatosha. [emoji23][emoji23]
Jiandae kisaikolojia, Samia anamalizia miaka minne aliyoicha Magufuli, then anapiga ya kwake 10, halafu tunamuongeza mitano ya shukrani.

Swala la Rais mpya mlifikirie kuanzia 2040.

Ukweli mchungu huu umeze tu ili usipate ugonjwa wa moyo kutamani kitu ambacho hakipo, ur kissing the wind.
 
Sisi wafuasi kindakindaki wa Kiranga tuna comment wapi? Mkuu mbona hauja tutendea haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…