Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 10, 2021 #81 Ngoja tuone...
K Kihava JF-Expert Member Joined May 23, 2016 Posts 4,815 Reaction score 4,157 Oct 10, 2021 #82 Marytina said: Aliletwa na Mungu ili vijana tujifunze namna ya kuenenda tunapokuwa na madaraka. Vijana tumefunzwa kuwa yatupasa kumtegemea MUNGU wa mbinguni tu na sio mwanadamu Click to expand... Kwa uongozi wa yule jamaa kwa kweli tulipata fundisho la kwamba siyo wote wanafaa kuwa viongozi. Ule haukuwa uongozi bali uhuni na ujambazi wa kimamlaka uliopitiliza
Marytina said: Aliletwa na Mungu ili vijana tujifunze namna ya kuenenda tunapokuwa na madaraka. Vijana tumefunzwa kuwa yatupasa kumtegemea MUNGU wa mbinguni tu na sio mwanadamu Click to expand... Kwa uongozi wa yule jamaa kwa kweli tulipata fundisho la kwamba siyo wote wanafaa kuwa viongozi. Ule haukuwa uongozi bali uhuni na ujambazi wa kimamlaka uliopitiliza
K Kihava JF-Expert Member Joined May 23, 2016 Posts 4,815 Reaction score 4,157 Oct 10, 2021 #83 Marytina said: Aliletwa na Mungu ili vijana tujifunze namna ya kuenenda tunapokuwa na madaraka. Vijana tumefunzwa kuwa yatupasa kumtegemea MUNGU wa mbinguni tu na sio mwanadamu Click to expand... Kuna watu ni nyoka lakini wanavaa hadi suti na kuishi magogoni na chamwino eti wakiitwa wakuu wa kaya
Marytina said: Aliletwa na Mungu ili vijana tujifunze namna ya kuenenda tunapokuwa na madaraka. Vijana tumefunzwa kuwa yatupasa kumtegemea MUNGU wa mbinguni tu na sio mwanadamu Click to expand... Kuna watu ni nyoka lakini wanavaa hadi suti na kuishi magogoni na chamwino eti wakiitwa wakuu wa kaya
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Oct 10, 2021 #84 operativetz said: Uchaguzi utakuwa rahisi sana huu. Click to expand... Iwapo tu, uchaguzi utakuwa Huru na wa_haki ( Nukuu toka kwa Mh H. Polepole) Your browser is not able to display this video.
operativetz said: Uchaguzi utakuwa rahisi sana huu. Click to expand... Iwapo tu, uchaguzi utakuwa Huru na wa_haki ( Nukuu toka kwa Mh H. Polepole) Your browser is not able to display this video.