Kama kweli mikutano ya kisiasa ya hadhara imezuiliwa Mbona Ado Shaibu wa ACT Wazalendo anafanya mikutano ya hadhara? Au CCM inabagua?

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Ingekuwa sisi CHADEMA tungepata tabu kwa kufanya mikutano ya hadhara. Ila hawa jamaa wanaruhusiwa tu. Huu ni ubaguzi.

 
ACT Wazalendo ni Tawi la CCM hawazuiliwi Mlengwa wa ZUIO ni CHADEMA wenye AKILI KUBWA Tunalijua hilo
 
Mikutano ya hadhara haijazuiwa, sema Chadema hawana ushawishi kwa jamii
 
Chadema tunakubalika ndio maana mnatuogopa. Mikutano ya hadhara imezuliwa.

Ww sio CHADEMA, acha kujikomba.

Toka awali Katazo la mikutano ya hadhara mlengwa mkuu alikuwa ni CDM. Hata hapo walipo wanapima upepo, CDM wakianza mikutano na mwitikio ukawa mkubwa Katazo linarejeshwa tena. Lakini naona kabisa CDM wakikutana na vikwazo vikubwa vya mikutano ya hadhara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…