Kama kweli mnajiamini mguseni Mtanganyika Dr. Emanuel Nchimbi

CHADEMA sio kama hawaeleweki tu, bali hata wenyewe hawawlewi wanasimamia kitu gani!.
 
Tuko nyuma ya Makamu, wakitaka tugawane fito sawa.
 
Acheni kuingia kwenye mitego ya CCM, watu wameuwawa October 29 na huyu Nchimbi akiwa katika kubariki mauaji hayo .
Kama wameua mbona hauoneshi hasira zako? Unakubali wanakutawala? Sisi tunasisitiza utawala wa Sheria. Kama ana makosa wampeleke mahakamani sio kumuua
 
Kama wameua mbona hauoneshi hasira zako? Unakubali wanakutawala? Sisi tunasisitiza utawala wa Sheria. Kama ana makosa wampeleke mahakamani sio kumuua
Mimi sitawaliwi na hao wauaji pia siwatambui kama watawala.

Lini CCM walifuata sheria?

Walisema Polepole anahitajika kwa mahojiano kwa DCI leo ni miezi 8 tangu wamemuua umeona kuna utaratibu wowote wa kisheria?

Kimsingi hawa wahuni hakuna mahakama ya ndani itawachukulia hatua hawa dawa yao ni mahakama za kimataifa au na wao kutandikwa risasi tu na wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…