Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila heri. Kakabidhi nafsi yako kwa mizimu ili ikuzimue🤣🤣🤣🤣Habari zenu Wanajamiiforums.
Kwa mda niliotumia kumuomba Mungu na kutokupata majibu yoyote, nahitimisha kuwa nguvu za Mungu si nyingi kama tulivyoaminishwa.
Aisee nataka kuamia Mizimuni, Anayejua namna ya kutambikia Mizimu anielekeze, Mungu aliyeletwa na meli kwenye maisha yangu amefeli (Hana impact yoyote).
Am done.
Mungu atakujibu vipi maombi yako ilihali unamuomba huku humwamini ? Yaani una shaka juu ya uweza wake halafu unataka akutendee maajabu?Habari zenu Wanajamiiforums.
Kwa mda niliotumia kumuomba Mungu na kutokupata majibu yoyote, nahitimisha kuwa nguvu za Mungu si nyingi kama tulivyoaminishwa.
Aisee nataka kuamia Mizimuni, Anayejua namna ya kutambikia Mizimu anielekeze, Mungu aliyeletwa na meli kwenye maisha yangu amefeli (Hana impact yoyote).
Am done.
hata usipimuomba bado atakupa tu neema zake kama hewa, maji, chpakula,wake,watoto,mali n.k ila ukifa ujue huna chako katika maisha baada ya kifoWatu wa dini kwa kujifariji hawajambo.
Eti Mungu hawahi wala hakawii, eti anakuja kwa "wakati wake"
Fikiria hivi, uko jangwani unahitaji msaada wa Mungu, ila hakusaidii kwa kisingizio cha kwamba atakuja kwa wakati wake, sasa huyu Mungu ana msaada gani?
Yaani mpaka ajisikie ndiyo akusaidie?
Kwamba hata uombe mwaka mzima hawezi kukusaidia kama muda aliopanga haujafika?
Kwahiyo tayari alishapanga maisha yetu yatakuwaje?
Sasa kama alishapanga maisha yetu kuna ulazima gani wa kumuomba?
Mungu hawezi kukupa chakula wala mali.hata usipimuomba bado atakupa tu neema zake kama hewa, maji, chakula,wake,watoto,mali n.k ila ukida ujue huna chako katika maisha baada ya kifo
Embu amkeni nyie vijana au nyie watanzania, Neno la huyo Mungu mnaedai Hana nguvu linasema jifunzeni kwake, maana yeye ni mpole na mnyenyekevu, Nira yake ni lakini na mzigo wake ni mwepesi, hajasema kwake hakuna Nira, Wala mzigo, ila ni mpole mnyenyekevu, ana upendo hata katika hayo, sasa upande wa pili hakuna kucheka na kima, masharti kama ugonjwa ukienda pembeni adhabu ni kuua, au wewe ufe, mizimu yaweza kukukataza usikae mjini na usomi au shuhuli zako utafanya Nini?Sasa hivi upo wapi mkuu na mm nije
Mungu na Mizimu ni kama pipa na mfuniko.Embu amkeni nyie vijana au nyie watanzania, Neno la huyo Mungu mnaedai Hana nguvu linasema jifunzeni kwake, maana yeye ni mpole na mnyenyekevu, Nira yake ni lakini na mzigo wake ni mwepesi, hajasema kwake hakuna Nira, Wala mzigo, ila ni mpole mnyenyekevu, ana upendo hata katika hayo, sasa upande wa pili hakuna kucheka na kima, masharti kama ugonjwa ukienda pembeni adhabu ni kuua, au wewe ufe, mizimu yaweza kukukataza usikae mjini na usomi au shuhuli zako utafanya Nini?
Mizimu penalty yake ni papo kwa hapo ukikosea na masharti Lukuki yasiyoendana na Karne hii, mfano usivae labda viatu Fulani, usikae mjini namfahamu mtu alilazwa nje na kupigwa na babake marehem maana alikuwa kukaa mjini akalinde sijui mji huko mkoani, pia hata ukifanikiwa kibiashara au kilimo whatever, bado ni wewe unafanya kazi sio yenyewe inakufanyia.Mungu na Mizimu ni kama pipa na mfuniko.
Umesema mizimu ina masharti, hata Mungu pia ana masharti.
Usipofuata masharti ya Mizimu itakuadhibu, na Mungu pia usipofuata masharti yake ameandaa moto (Jehanam)
Kwahiyo Mungu na Mizimu ni pipa na mfuniko, hakuna anayemcheka mwenzie.
Tena huenda mizimu ina nguvu kuliko Mungu.
Hakuna bora mkuu, Mizimu inatoa adhabu hapo hapo, Mungu atatoa adhabu kesho.Mizimu penalty yake ni papo kwa hapo ukikosea na masharti Lukuki yasiyoendana na Karne hii, mfano usivae labda viatu Fulani, usikae mjini namfahamu mtu alilazwa nje na kupigwa na babake marehem maana alikuwa kukaa mjini akalinde sijui mji huko mkoani, pia hata ukifanikiwa kibiashara au kilimo whatever, bado ni wewe unafanya kazi sio yenyewe inakufanyia.
Shetani ndio kabisa utahenya mpk umeze DAWA za usingiz na Drugs kama most celebrities wa Hollywood.
Mpaka sasa umepewa nafasi maana unao utashi na kwa Uandishi umeshachagua tayari. Then upate mentoring ya mtu mwenye uelewa vizuri wa kukusafirisha kwenye hiyo Medani Mkuu.Hakuna bora mkuu, Mizimu inatoa adhabu hapo hapo, Mungu atatoa adhabu kesho.
Kwangu mimi nikipewa nafasi ya kuchagua nitachagua mizimu
Nani amenipa nafasi mkuu?Mpaka sasa umepewa nafasi maana unao utashi na kwa Uandishi umeshachagua tayari. Then upate mentoring ya mtu mwenye uelewa vizuri wa kukusafirisha kwenye hiyo Medani Mkuu.
Aliyekuumba alikuwekea utashi kuchagua Mema au mabaya, Haki au udhalimu, hakushindwa kukulazimisha lakini ameamua Kila aishiye achague njia zote kwa utashi aliopewa.Nani amenipa nafasi mkuu?
Mungu hajanipa nafasi ya kuchagua.Aliyekuumba alikuwekea utashi kuchagua Mema au mabaya, Haki au udhalimu, hakushindwa kukulazimisha lakini ameamua Kila aishiye achague njia zote kwa utashi aliopewa.
Uhuru uko. Mbona hulalamiki kwamba ikinyesha mvua inanyesha kwa wachawi, watekaji, mafisadi na wanaompenda Mungu pia. Jitahidi umjue sana utakuwa na Amani isiyo na kifani, na furaha. Tofauti na hapo ni Mahangaiko ya hapa na badae ukilala mauti.Mungu hajanipa nafasi ya kuchagua.
Amenipa nafasi ya kuchagua kwani haijui kesho yangu?
Si mnasema anatujua hata kabla hatujazaliwa mpaka kufa kwetu anatujua sisi ni watu wa aina gani?
Tungesema amenipa nafasi ya kuchagua kama ingekuwa hajui kesho yangu, tungesema amenipa kuchagua kama angeruhusu niende upande ninaotaka bila kuniwekea adhabu ya kuacha kumchagua yeye.
Mfano mdogo huu hapa, Lisu na Samia wanagombea kiti cha urais, Samia anakuja kwetu anatuambia NICHAGUENI MIMI, AMBAYE HATONICHAGUA BASI NITAMUUA.
sasa hapo kuna uchaguzi mkuu?
The same kwa Mungu anasema twende kwake, kama tusipoenda kwake atatuchoma moto.
Sasa hapo ametoa uhuru gani wa kuchagua?
Why is father nature na sio mother nature?Mungu = Natural Powers/Father Nature
Mvua haina uhusiano na Mungu.Uhuru uko. Mbona hulalamiki kwamba ikinyesha mvua inanyesha kwa wachawi, watekaji, mafisadi na wanaompenda Mungu pia. Jitahidi umjue sana utakuwa na Amani isiyo na kifani, na furaha. Tofauti na hapo ni Mahangaiko ya hapa na badae ukilala mauti.