Joan lewis
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 993
- 1,463
Upuuzi then uumbaji umetokea wapi? Mimi siamini mizimu iweje nichinje binadamu hata kukitokea tetemeko. Usinifananishe.Mvua haina uhusiano na Mungu.
Watu kama nyie ndiyo walikuwa wanachinja binadamu wenzao kisa eti mvua hazinyeshi Mungu amekasilika anataka kafala.
Watu walikuwa wanatetea huo upuuzi kama wewe unavyotetea hapa uwepo wa Mungu.
Miaka na karne zimepita ule ukatili umepita.
Hata huu upuuzi wa makanisa na misikiti yatapita pia.
Inaweza isiwe leo, lakini itafika.