Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Sasa dunia kama siyo makazi ya kudumu aliiumba ili iweje?? Alishindwa kutiweka huko huko mbinguni automatic?Duniani tumeletwa ili tumjue, tumpende, tumtumikie na mwisho tufike kwake Mbinguni, ambako tutaishi maisha yetu yote - Milele na milele.
Sent using unknown device