Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu utakuta mtu kama huyu anaafanyakazi kwa wahindi analipwa laki mbili kwa mwezi na wahindi wanalipana mishahara mkubwa lakini halioni.Mpira wa bongo ni upumbavu mtupu japobsina ushabiki wa timu yoyote ila nilikua najua kwa mchezaji kama fei mkwanja wake utakua safi tu mbona wakuja wanalipwa njema iweje wazawa waminywe kimtindo ndio maana utakuta timu hazifiki mbali figisu nyingi.........
Fei hajajifanya mkubwa bali alikuwa anadai maslahi yake ,kwa hiyo huyo Nabi akipata timu nyingine ikampa milioni 100 kila mwezi atabakia hapo utopoloni kisa tu ana mkataba? Acheni ufala Fei ana haki ya kutafuta kesho yake iliyo bora.Safi kama ni kweli, hakuna mchezaji kujifanya mkubwa zaidi kocha na club.
Fei hakuondoka yanga kwa sababu haipendi bali kaondoka kwa ajili ya maslahi na kama yanga wamempa alicho kuwa amekifuata Azam basi haina shida.Mkuu hakuna anayekataa kuwa Fei Toto ni mchezaji mzuri.
Lakini pia majeruhi hata yeye anaweza kupata akiwa Yanga au Azam. Ninachoongea mimi ni kuwa mchezaji ambaye nafsi yake iko upande mwingine utamlazimisha?
Kwa vyoyote vile hawezi kuwa huru tena, fikiria tayari coach kapoteza imani nae hapo hata wachezaji wenzake usikute nao wamegawanyika. Unaweza kukuta timu inavurugika zaidi.
Ni heri akubaliwe kuhama
Wewe Mbumbumbu haujui kama coach nae ni kiongozi?Huyu kocha naye jau tu kwani mgogoro wa Fei toto na Viongozi wake inamhusu nn?
Kocha ana uwezo wa kumuwajibisha mchezaji iwapo ataonesha utovu wa nidhamu tofauti na hapo anaingilia mambo yasiyo muhusu.
Ni muhimu ila kaikosea sana Yanga pamoja na kudai haki yake ya kuongezewa malipo lakini sio kwa ghafla vile tena kwenye mechi muhimu vile unaleta tafrani. Dogo kakosea Nabi yupo sahihi hata mimi namsapotiTunajidanganya sababu ya ushindi wa Azam wa juz
Fei Bado n muhimu kikosini subiri majeruhi yaanze ndio watajua FEI mtoto au mkubwa
Kwa hili tukio Niko pamoja na kocha. Hata vitani mwanajeshi akihasi kambi zawadi yake Ni kutoweshwa kambini ili hasije kuwa kirusi kwa wenzieNimeona taarifa ya kuwa Nabi kakataa Fei Toto kurejea kambini hata baada ya mgogoro wake na club kusuluhishwa.
Kama ni kweli basi huyu kweli ni Professor haswaa.
Viongozi wa Yanga hawakupaswa kabisa kukomaa na mchezaji ambaye tayari saikolojia yake haiko kwenye timu. Nawahakikishia itasumbua sana. Wangemuacha tu kwa amani
View attachment 2460216
Hiki kiherehere mngekielekeza kwenye timu yenu mngefanya jambo la maanaFei hajajifanya mkubwa bali alikuwa anadai maslahi yake ,kwa hiyo huyo Nabi akipata timu nyingine ikampa milioni 100 kila mwezi atabakia hapo utopoloni kisa tu ana mkataba? Acheni ufala Fei ana haki ya kutafuta kesho yake iliyo bora.
Na huyo Nabi asipo kuwa makini hili suala litamrudisha kwao Tunisia yaani wenye timu wameufyata yeye ninani ndani ya yanga?
Hiki kiherehere mngekielekeza kwenye timu yenu mngefanya jambo la maanaFei hajajifanya mkubwa bali alikuwa anadai maslahi yake ,kwa hiyo huyo Nabi akipata timu nyingine ikampa milioni 100 kila mwezi atabakia hapo utopoloni kisa tu ana mkataba? Acheni ufala Fei ana haki ya kutafuta kesho yake iliyo bora.
Na huyo Nabi asipo kuwa makini hili suala litamrudisha kwao Tunisia yaani wenye timu wameufyata yeye ninani ndani ya yanga?
Anadai kwa nani mbwa wewe? Yy ana mkataba na walishakubaliana sasa hayo madai kayatoa wapi??Fei hajajifanya mkubwa bali alikuwa anadai maslahi yake ,kwa hiyo huyo Nabi akipata timu nyingine ikampa milioni 100 kila mwezi atabakia hapo utopoloni kisa tu ana mkataba? Acheni ufala Fei ana haki ya kutafuta kesho yake iliyo bora.
Na huyo Nabi asipo kuwa makini hili suala litamrudisha kwao Tunisia yaani wenye timu wameufyata yeye ninani ndani ya yanga?
Ww ndio mbumbu mbumbu , kocha ni kiongozi lakini uongozi wake una mipaka na mipaka yake inaishia uwanjani na kwenye nidhamu ya wachezaji, suala la mikataba haimuhusu.Wewe Mbumbumbu haujui kama coach nae ni kiongozi?
Acha mtusi toa hoja ,fei toto alikuwa ameondoka yanga baada ya kupata maslahi makubwa sehemu nyingine na ndio kawaida ya binadamu yeyote.Anadai kwa nani mbwa wewe? Yy ana mkataba na walishakubaliana sasa hayo madai kayatoa wapi??
Mbumbumbu
Wewe Mbumbumbu haujui kama coach nae ni kiongozi?
Nabi anahusika vipi na mikataba ya wachezaji?Sijui Anahisi Nabi ni katuni…
Mbona case za hivyo ziko nyingi duniani anashindwa jiongeza anaanza ongea pumba
Nabi anahusika vipi na mikataba ya wachezaji?
Incase you don't know Nabi sio deiwaka kama yule jamaa wa oversizeNabi anahusika vipi na mikataba ya wachezaji?