Kama kweli Nabi kakataa Fei Toto kurudi kambini, yuko sahihi

Huyu kocha naye jau tu kwani mgogoro wa Fei toto na Viongozi wake inamhusu nn?

Kocha ana uwezo wa kumuwajibisha mchezaji iwapo ataonesha utovu wa nidhamu tofauti na hapo anaingilia mambo yasiyo muhusu.
Mpira una parameter kubwa kuliko unavyofikiria.
#I_SUPPORT_NABI.
 
Huyu kocha naye jau tu kwani mgogoro wa Fei toto na Viongozi wake inamhusu nn?

Kocha ana uwezo wa kumuwajibisha mchezaji iwapo ataonesha utovu wa nidhamu tofauti na hapo anaingilia mambo yasiyo muhusu.
Umeandika upupu
 
Mpira wa bongo ni upumbavu mtupu japobsina ushabiki wa timu yoyote ila nilikua najua kwa mchezaji kama fei mkwanja wake utakua safi tu mbona wakuja wanalipwa njema iweje wazawa waminywe kimtindo ndio maana utakuta timu hazifiki mbali figisu nyingi.........
Kwani nani alisaini mkataba wake
 
Mi ni shabiki wa yanga na namkubali feisal as a player anauwezo mkubwa sana, ametusaidia sana na atatusaidia sana

Alikuwa sahihi tu kwenda Azam mwisho wa siku yanga sio timu ya baba ake ye anatafuta maisha, lakin Kam aliamua kwenda Azam hakuwa na sabab yakugeuka nyuma

Kama ni kweli nabi kaweka ngumu yupo sahihi na iwe ni mfano Kwa wengine kwamba ukiamua ku-move on move on kwel watu tuna mambo mengi Kila siku tukuwaze wewe tu we nan

Sent using Jamii Forums mobile app
Kolopwinyo
 
Duhhh!!unaishi dunia gani ndugu yangu??
Mm nadhani ungenijibu swali langu kwanza badala ya ww kuniuliza swali? Kocha na masuala ya mkataba kati ya wachezaji na Viongozi wake inamhusu nn?

Kocha ni kiongozi sawa ila uongozi wake una mipaka , kuingilia migogoro ya kimaslahi kati wachezaji na Viongozi wao huko ni kuvuka mipaka ya mamlaka yake.

Kwani hata huyo Nabi akipata timu ikampa milioni 100 kwa mwezi ataendelea kukaa hapo utopoloni eti kisa ana mkataba au anaogopa kuitwa masariti?
 
Hapo hapamfai tena Fei....akirudi amejimaliza.
 
Mm nadhani ungenijibu swali langu kwanza badala ya ww kuniuliza swali? Kocha na masuala ya mkataba kati ya wachezaji na Viongozi wake inamhusu nn?

Kocha ni kiongozi sawa ila uongozi wake una mipaka , kuingilia migogoro ya kimaslahi kati wachezaji na Viongozi wao huko ni kuvuka mipaka ya mamlaka yake.

Kwani hata huyo Nabi akipata timu ikampa milioni 100 kwa mwezi ataendelea kukaa hapo utopoloni eti kisa ana mkataba au anaogopa kuitwa masariti?
Unachoshindwa kuelewa wewe ni kua wachezaji wanapokua kambini wanakua chini ya kocha.

Sasa ukiondoka kambini bila ruhusu au ukajiondokea kama unaenda chooni maana umeleta dharau kwa kocha na viongozi wote wa bench la ufundi.
 
Kwani alitoroka kambini?
 
Huyu kocha naye jau tu kwani mgogoro wa Fei toto na Viongozi wake inamhusu nn?

Kocha ana uwezo wa kumuwajibisha mchezaji iwapo ataonesha utovu wa nidhamu tofauti na hapo anaingilia mambo yasiyo muhusu.
Hakuhudhuria sessions za mazoezi bila sababu za msingi, kila kocha ana miiko yake na ndio maana mpaka kesho Sir Alex Fergurson atabaki kuwa bora.
 
Mm nadhani ungenijibu swali langu kwanza badala ya ww kuniuliza swali? Kocha na masuala ya mkataba kati ya wachezaji na Viongozi wake inamhusu nn?

Kocha ni kiongozi sawa ila uongozi wake una mipaka , kuingilia migogoro ya kimaslahi kati wachezaji na Viongozi wao huko ni kuvuka mipaka ya mamlaka yake.

Kwani hata huyo Nabi akipata timu ikampa milioni 100 kwa mwezi ataendelea kukaa hapo utopoloni eti kisa ana mkataba au anaogopa kuitwa masariti?
Unaelewa nini kuhusu report ya mwalimu?
 
Hapa sasa ndio utajua uto hamnazo,

Washabiki: Zanzibar finnest ni zaidi ya Cloutus Chama mzee wa loco faint

FEI : Nafurahi kuwa hapa kwa muda wote ila muda umefika kwenda kupata changamoto nyingine sehemu nyingine,kwaherini[emoji857][emoji857][emoji857]

VIONGOZI : fei ni mchezaji wetu mpaka 2024[emoji849][emoji849]

WASHABIKI : aende ,hatumtaki..no fei no problem

VIONGOZI: Tupo chini ya miguu yako,usitudhalilishe rudi nyumbani tutakupa kila unachotaka fei,wewe ndio yanga [emoji24]

FEI : sawa kama mtanitimizia hivyo basi nimekubali kurudi[emoji857][emoji857][emoji857][emoji857]

VIONGOZI : [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

WASHABIKI : oyooooo aibu yao waliokuwa wanasema fei kahama,wanaona aibu sasa,hii ndio utopolo og fei ahame weeeeh[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

KOCHA : hayupo katika program zangu,akae pembeni simtaki [emoji45][emoji848]

WASHABIKI: [emoji856][emoji856][emoji31][emoji31][emoji1781] mbona alimpokea morrison!!!!!!

???????????
FB_IMG_1672206216202.jpg
 
Back
Top Bottom