magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
.Mm nadhani ungenijibu swali langu kwanza badala ya ww kuniuliza swali? Kocha na masuala ya mkataba kati ya wachezaji na Viongozi wake inamhusu nn?
Kocha ni kiongozi sawa ila uongozi wake una mipaka , kuingilia migogoro ya kimaslahi kati wachezaji na Viongozi wao huko ni kuvuka mipaka ya mamlaka yake.
Kwani hata huyo Nabi akipata timu ikampa milioni 100 kwa mwezi ataendelea kukaa hapo utopoloni eti kisa ana mkataba au anaogopa kuitwa masariti?
Jaribu kufikiri hivi labda itakusaidia. Mchezaji haruhusiwi kuondoka kambini pasi na kocha kupewa taarifa. Inawezekana mkataba wa Feisal kocha haumhusu lakini huoni mchezaji kuondoka kambini bila ruhusa kunamhusu?!
Usiniambie ulishindwa kufikiria kitu kidogo kama hiki.