Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Mpira una parameter kubwa kuliko unavyofikiria.Huyu kocha naye jau tu kwani mgogoro wa Fei toto na Viongozi wake inamhusu nn?
Kocha ana uwezo wa kumuwajibisha mchezaji iwapo ataonesha utovu wa nidhamu tofauti na hapo anaingilia mambo yasiyo muhusu.
Umeandika upupuHuyu kocha naye jau tu kwani mgogoro wa Fei toto na Viongozi wake inamhusu nn?
Kocha ana uwezo wa kumuwajibisha mchezaji iwapo ataonesha utovu wa nidhamu tofauti na hapo anaingilia mambo yasiyo muhusu.
Kwani nani alisaini mkataba wakeMpira wa bongo ni upumbavu mtupu japobsina ushabiki wa timu yoyote ila nilikua najua kwa mchezaji kama fei mkwanja wake utakua safi tu mbona wakuja wanalipwa njema iweje wazawa waminywe kimtindo ndio maana utakuta timu hazifiki mbali figisu nyingi.........
KolopwinyoMi ni shabiki wa yanga na namkubali feisal as a player anauwezo mkubwa sana, ametusaidia sana na atatusaidia sana
Alikuwa sahihi tu kwenda Azam mwisho wa siku yanga sio timu ya baba ake ye anatafuta maisha, lakin Kam aliamua kwenda Azam hakuwa na sabab yakugeuka nyuma
Kama ni kweli nabi kaweka ngumu yupo sahihi na iwe ni mfano Kwa wengine kwamba ukiamua ku-move on move on kwel watu tuna mambo mengi Kila siku tukuwaze wewe tu we nan
Sent using Jamii Forums mobile app
Walisaini fei na uongozi wa yangaKwani nani alisaini mkataba wake
Yanga haijaanza leo kupata majeruhi, haitegemei mchezaji mmoja.Tunajidanganya sababu ya ushindi wa Azam wa juz
Fei Bado n muhimu kikosini subiri majeruhi yaanze ndio watajua FEI mtoto au mkubwa
Mm nadhani ungenijibu swali langu kwanza badala ya ww kuniuliza swali? Kocha na masuala ya mkataba kati ya wachezaji na Viongozi wake inamhusu nn?Duhhh!!unaishi dunia gani ndugu yangu??
Unachoshindwa kuelewa wewe ni kua wachezaji wanapokua kambini wanakua chini ya kocha.Mm nadhani ungenijibu swali langu kwanza badala ya ww kuniuliza swali? Kocha na masuala ya mkataba kati ya wachezaji na Viongozi wake inamhusu nn?
Kocha ni kiongozi sawa ila uongozi wake una mipaka , kuingilia migogoro ya kimaslahi kati wachezaji na Viongozi wao huko ni kuvuka mipaka ya mamlaka yake.
Kwani hata huyo Nabi akipata timu ikampa milioni 100 kwa mwezi ataendelea kukaa hapo utopoloni eti kisa ana mkataba au anaogopa kuitwa masariti?
Acha uchoko dog mnamlisha makande kwanini asitake kusepa kwa matajiriWewe umemsikia wapi kocha Nabi akisema hayo?
Nabi anaongea Kifaransa na kiarabu, achana na haya mazezeta ya Mwamedi Yanasumbuliwa na mhaho.
Kwani alitoroka kambini?Unachoshindwa kuelewa wewe ni kua wachezaji wanapokua kambini wanakua chini ya kocha.
Sasa ukiondoka kambini bila ruhusu au ukajiondokea kama unaenda chooni maana umeleta dharau kwa kocha na viongozi wote wa bench la ufundi.
Hakuhudhuria sessions za mazoezi bila sababu za msingi, kila kocha ana miiko yake na ndio maana mpaka kesho Sir Alex Fergurson atabaki kuwa bora.Huyu kocha naye jau tu kwani mgogoro wa Fei toto na Viongozi wake inamhusu nn?
Kocha ana uwezo wa kumuwajibisha mchezaji iwapo ataonesha utovu wa nidhamu tofauti na hapo anaingilia mambo yasiyo muhusu.
Kweni hujui hiloKwani alitoroka kambini?
Unaelewa nini kuhusu report ya mwalimu?Mm nadhani ungenijibu swali langu kwanza badala ya ww kuniuliza swali? Kocha na masuala ya mkataba kati ya wachezaji na Viongozi wake inamhusu nn?