Kama kweli Nabi kakataa Fei Toto kurudi kambini, yuko sahihi

.
Jaribu kufikiri hivi labda itakusaidia. Mchezaji haruhusiwi kuondoka kambini pasi na kocha kupewa taarifa. Inawezekana mkataba wa Feisal kocha haumhusu lakini huoni mchezaji kuondoka kambini bila ruhusa kunamhusu?!

Usiniambie ulishindwa kufikiria kitu kidogo kama hiki.
 
Sisi tunachojua ni kuongoza ligi na kuchukua kombe hizo habari za comparison endeleeni nazo nyie

N:b Mda wa kutetea kombe la mapinduzi umefika msituangushe
 
Feisali akirudi yanga ataigawa yanga ni bora angekaa nje hata mwezi mmoja ili akili imkae sawa
 
Huyu kocha naye jau tu kwani mgogoro wa Fei toto na Viongozi wake inamhusu nn?

Kocha ana uwezo wa kumuwajibisha mchezaji iwapo ataonesha utovu wa nidhamu tofauti na hapo anaingilia mambo yasiyo muhusu.
Kwani kuondoka kambini huo sio utovu wa nidhamu?
 
Huyu kocha naye jau tu kwani mgogoro wa Fei toto na Viongozi wake inamhusu nn?

Kocha ana uwezo wa kumuwajibisha mchezaji iwapo ataonesha utovu wa nidhamu tofauti na hapo anaingilia mambo yasiyo muhusu.
umeandika usichokijua? ni aidha hujui maana ya nidhamu au unaleta ushabiki wa bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…