Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanaukumbi.
Wafuasi wa Chadema popote pale walipo tuache kutoa matamko kwenye mitandao huku tumejificha mara makongamano ya online kila mmoja yupo chumbani kwake. Tuingie uwanja wa mapambano bila sisi wafuasi wa Chadema kufanya hivyo hamna wakutufanyia.
Yaani Chadema wanatafuta chambo kwenye vita wanataka raia wa kawaida tuandamane tupigwe risasi alafu tufee wao viongozi wako kwenye Usalama na wengine wako Ulaya na Canada sisi ndiyo tuonekane Wabaya wao wapate mtaji wa kisiasa.
Baada ya kuona raia hawana habari na Chadema huko kwenye mitandao silaha kubwa ni matusi hivi mlikuwa mnategemea nini kumtisha Amir Jeshi.