Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Na Mimi nifurahi.Na ukishajua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Mimi nifurahi.Na ukishajua?
Ukishafurahi halafu ndio iweje?Na Mimi nifurahi.
Hatuna uchungu na CHADEMA, tuna uchungu na Tanzania, na watu kama wewe ni wapuuzi ndani ya CCM.Wanaukumbi.
Wafuasi wa Chadema popote pale walipo tuache kutoa matamko kwenye mitandao huku tumejificha mara makongamano ya online kila mmoja yupo chumbani kwake. Tuingie uwanja wa mapambano bila sisi wafuasi wa Chadema kufanya hivyo hamna wakutufanyia.
Yaani Chadema wanatafuta chambo kwenye vita wanataka raia wa kawaida tuandamane tupigwe risasi alafu tufee wao viongozi wako kwenye Usalama na wengine wako Ulaya na Canada sisi ndiyo tuonekane Wabaya wao wapate mtaji wa kisiasa.
Baada ya kuona raia hawana habari na Chadema huko kwenye mitandao silaha kubwa ni matusi hivi mlikuwa mnategemea nini kumtisha Amir Jeshi.
Wapi nimesema katiba nikwaajili yangu! Nguvu ya upinzani nikuamsha mchakato wa katiba na hayo makongamano yapo kikatiba ila kwanini ccm wanatumia nguvu mkubwa sana kufifisha ukweli,Wewe Katiba haiwezi kuwa kwa ajili yako tu. Common Good ndo hufanya tafsiri ya katiba. Sio wewe kusoma kifungu kimoja na kuamua tu eti katiba Leo tunaandamana na kofia nyekundu na fulana nyekundu. What about us. The majority. Amani yetu. Ndo ujue Hapo Katiba inalindwa. Ujinga mtupu kuzani unaweza kunya hadharani kisa katiba inakupa uhuru.