Kama kweli tuna uchungu na CHADEMA tuache kuandamana kweye mitandao tuwe mfano

Msitoe matamko ambayo hamuwezi kuisimamia. Katika matamko ya Chadema walisema watafanya Kongamano la Katiba Mwanza polisi wakitaka wawaue wote au wawakamate wote na hawatoomba dhamana kuachiwa

Je, kongamano lilifanyika?
Ngoma ya watoto haikeshi
 
Ha ha ha ha ha ni huzun saana
 
Mwamba wao kahifadhiwa wote baridiii.
Hawathubutu hata kutoka nje ya Nyumba zao. Ila myika yuko smart huwaga hafanyi vurugu kabisa.
Yaan mbowe Ni chadema na chadema Ni mbowe!
 
Mwamba wao kahifadhiwa wote baridiii.
Hawathubutu hata kutoka nje ya Nyumba zao. Ila myika yuko smart huwaga hafanyi vurugu kabisa.
Mnyika alishastaafu siasa. Sasa hivi anasindikiza siku tu. Pesa zake zote 90M alizopewa kununua gari la Ubunge 2015 alinunua HISA DSE.
 
Wapambanaji wa kweli hawaogopi kuvunjwa miguu au kufa, wanaoogopa ni makamanda feki
 
Unaleta uchochezi!!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh yote haya ni kutaka kikombe cha chai ikulu. Ninamuomba awaalike kwa chai ya jioni hawa chadema, ili watulie
 
Mimi kama mtumishi wa Mungu na mtoto wa mchugaji najitolea kuwawekea mikono waandamanaji wote watakojitokeza live barabarani bila ya kukusanya sadaka kama mtu akifa apitilize kwa Mungu moja kwa moja.
 

So Amani yetu na shughuli zetu ziachwe kwa kuwa mna ujasiri wa kumwaga damu. Ndugu yangu tulipo Ni patamu sana. Mambo ya kuiga somalia. Kenya na kwingineko Sio maendeleo. Kinachowafaa wao sio kinachotufaa Sisi. Watanzania tuna Shida gani ambayo Leo akiwa mbowe Rais ndo zitaisha. Amani ya Leo Ni Bora kuliko majaliwa ya kupata nyie vitambi kwa damu. Nenda Somalia.
 
Katiba haijazuiya popote ila nguvu kubwa inatumika kukandamiza hivyo mtandao hauzuiliki na ni zaidi ya hilo kongamano la mtaani nia nikupaza sauti dunia iskie ili Mimi na wewe kama watanzania tupige hatua,

Wewe Katiba haiwezi kuwa kwa ajili yako tu. Common Good ndo hufanya tafsiri ya katiba. Sio wewe kusoma kifungu kimoja na kuamua tu eti katiba Leo tunaandamana na kofia nyekundu na fulana nyekundu. What about us. The majority. Amani yetu. Ndo ujue Hapo Katiba inalindwa. Ujinga mtupu kuzani unaweza kunya hadharani kisa katiba inakupa uhuru.
 
Mchezo wa siasa bana 😂...

Na kumbuka mwanasiasa akikwambia toka nje kuna giza jiongeze mwenyewe...
 
Daaah
 
Ni watanzania asilimia ngapi wanatumia mitandao?
Wananchi wa kweli wanaishi kwenye mitandao?

Chama kikubwa kama Chadema kijikite kufanya siasa kwenye Mitandao na sio kuwafikia wananchi Ni watanzania wangapi wanatumia smartphone?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…