Kama kweli tuna uchungu na CHADEMA tuache kuandamana kweye mitandao tuwe mfano

Chadema ni wababaishaji wanachotaka ni stunts tuu.
 
Madai ya cdm ni muhimu sana,ila wanatumia wrong approach........

Niliona Lissu anatweet jana watu waingie Road, nikajiuliza si aje aongoze maandamano mbona anajificha kwenye keyboard tu
 
Lisu aliwaomba wafuasi wake waingie barabarani kaibiwa kura alafu yeye akaenda kunyuti ubalozini anaskilizia.
 
Risasi gani tena za kupiga waandamanaji.."si Magu dikteta uchwara hayupo na tunae sasa mama mrudisha tabasamu kwa watz"?
 
Hatujawahi kuogopa polisi
Zikitokeaga hizi ishu polisi huwa wanawasubiria tu barabarani ila mnazingua, unaikumbuka hii baada ya kukataa matokeo ya uchaguzi ? 👇
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…