Kama kweli tuna uchungu na CHADEMA tuache kuandamana kweye mitandao tuwe mfano

Hatuna uchungu na CHADEMA, tuna uchungu na Tanzania, na watu kama wewe ni wapuuzi ndani ya CCM.
 
Wapi nimesema katiba nikwaajili yangu! Nguvu ya upinzani nikuamsha mchakato wa katiba na hayo makongamano yapo kikatiba ila kwanini ccm wanatumia nguvu mkubwa sana kufifisha ukweli,
Wewe ulichoandika ni upupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…