Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
umesema vema na tena ukweli wa mungu.Baadhi ya maneno ya kuangaliwa ni kupunguza madaraka ya rais juu ya teuzi hasa za mawaziri. Ili kujenga taifa la kiwajibikaji lazima mawaziri wawe na mkataba wa ajira na wakivurunda wanatimuliwa.
Tume ya uchaguzi iwe huru na matokeo ya Urais yaweze kupingwa mahakamani.
Mahakama ziwe huru na watu wawe na uhuru wa kudai haki zao bila kuwa na kikwazo cha aina yu yoyote. Majaji wawe wanaomba kazi kama waajiriwa wengine.
"Katiba ni jambo la muda mrefu, katika kipindi cha kati tukayafanyie maboresho yote tuliyoyasema, halafu huko mbeleni tuone kuna haja ya kurekebisha katiba yetu, pengine kutakuwa na haja tu ya kurekebisha baadhi ya maeneo na si kuandika katiba mpya" Mhe. Rais
Usiturudishe nyuma tunataka KATIBAAA MPYAAAABaadhi ya maneno ya kuangaliwa ni kupunguza madaraka ya rais juu ya teuzi hasa za mawaziri. Ili kujenga taifa la kiwajibikaji lazima mawaziri wawe na mkataba wa ajira na wakivurunda wanatimuliwa.
Tume ya uchaguzi iwe huru na matokeo ya Urais yaweze kupingwa mahakamani.
Mahakama ziwe huru na watu wawe na uhuru wa kudai haki zao bila kuwa na kikwazo cha aina yu yoyote. Majaji wawe wanaomba kazi kama waajiriwa wengine.
"Katiba ni jambo la muda mrefu, katika kipindi cha kati tukayafanyie maboresho yote tuliyoyasema, halafu huko mbeleni tuone kuna haja ya kurekebisha katiba yetu, pengine kutakuwa na haja tu ya kurekebisha baadhi ya maeneo na si kuandika katiba mpya" Mhe. Rais
Nani amewazuia?Usiturudishe nyuma tunataka KATIBAAA MPYAAAA
Naamini hivyo 'vipengele' ulivyovitaja ndiyo mwiba mchungu kwa watawala wa CCM, na hili litakuwa gumu sana kwao kulitekeleza.Baadhi ya maneno ya kuangaliwa ni kupunguza madaraka ya rais juu ya teuzi hasa za mawaziri. Ili kujenga taifa la kiwajibikaji lazima mawaziri wawe na mkataba wa ajira na wakivurunda wanatimuliwa.
Tume ya uchaguzi iwe huru na matokeo ya Urais yaweze kupingwa mahakamani.
Mahakama ziwe huru na watu wawe na uhuru wa kudai haki zao bila kuwa na kikwazo cha aina yu yoyote. Majaji wawe wanaomba kazi kama waajiriwa wengine.
"Katiba ni jambo la muda mrefu, katika kipindi cha kati tukayafanyie maboresho yote tuliyoyasema, halafu huko mbeleni tuone kuna haja ya kurekebisha katiba yetu, pengine kutakuwa na haja tu ya kurekebisha baadhi ya maeneo na si kuandika katiba mpya" Mhe. Rais
Hujasikia Hadi baada ya uchaguzi 2025Nani amewazuia?
Kuanza na time huru ya uchaguzi ni maono ya wanaogombania madaraka sio malengo ya watanzania katiba isimame Kam katiba kwanz then vyama binafs na malengo yao yafateBaadhi ya maneno ya kuangaliwa ni kupunguza madaraka ya rais juu ya teuzi hasa za mawaziri. Ili kujenga taifa la kiwajibikaji lazima mawaziri wawe na mkataba wa ajira na wakivurunda wanatimuliwa.
Tume ya uchaguzi iwe huru na matokeo ya Urais yaweze kupingwa mahakamani.
Mahakama ziwe huru na watu wawe na uhuru wa kudai haki zao bila kuwa na kikwazo cha aina yu yoyote. Majaji wawe wanaomba kazi kama waajiriwa wengine.
"Katiba ni jambo la muda mrefu, katika kipindi cha kati tukayafanyie maboresho yote tuliyoyasema, halafu huko mbeleni tuone kuna haja ya kurekebisha katiba yetu, pengine kutakuwa na haja tu ya kurekebisha baadhi ya maeneo na si kuandika katiba mpya" Mhe. Rais
Duh!Yanabana lakini yataachia.Katiba mpya ni lazima,huwezi kuzuia hitaji la wenye nchi yao🐒🐒🐒
View attachment 2159458
Katiba naona kama tunashawishiwa tu na wanasiasa.Baadhi ya maneno ya kuangaliwa ni kupunguza madaraka ya rais juu ya teuzi hasa za mawaziri. Ili kujenga taifa la kiwajibikaji lazima mawaziri wawe na mkataba wa ajira na wakivurunda wanatimuliwa.
Tume ya uchaguzi iwe huru na matokeo ya Urais yaweze kupingwa mahakamani.
Mahakama ziwe huru na watu wawe na uhuru wa kudai haki zao bila kuwa na kikwazo cha aina yu yoyote. Majaji wawe wanaomba kazi kama waajiriwa wengine.
"Katiba ni jambo la muda mrefu, katika kipindi cha kati tukayafanyie maboresho yote tuliyoyasema, halafu huko mbeleni tuone kuna haja ya kurekebisha katiba yetu, pengine kutakuwa na haja tu ya kurekebisha baadhi ya maeneo na si kuandika katiba mpya" Mhe. Rais
Zitaje nchi zilizo na katiba nzuri na bado hazina amani!Katiba naona kama tunashawishiwa tu na wanasiasa.
Ziko nchi zina Katiba nzuri sana kwa macho lakini hazina amani, ustawi, maendeleo kutuzidi sisi wenye Katiba "mbovu".
Wanasiasa walio nje ya Serikali wanataka Katiba mpya ili waweze kuingia kwenye madaraka.
Wanasiasa walio ndani ya Serikali hawataki Katiba mpya kwa vile itawatoa madarakani.
Hapa wananchi wanatumiwa tu kama conduit ya kukidhi mahitaji ya wanasiasa wote walio ndani na walio nje.
Yasemekana matakwa ya Katiba mpya yalionekana tangu mwanzoni mwa 1990 kupitia tume mbalimbali kama ya Jaji Nyalali na ya Jaji Kisanga. Ni miaka 32 sasa tumeishi na Katiba "mbovu".
Ina maana toka tupate uhuru mwaka 1991 ilituchukua miaka 29 kujua kuwa tuna Katiba "mbovu". Lakini tumekaa miaka 32 na Katiba "mbovu" na maisha yanasonga.
Tutafakari sana tunachohitaji tunaweza kupata kitu cha ajabu tukaijutia tunayoiita Katiba "mbovu". Mkataa pazuri pabaya panamsubiri
Hii ya sasa inafanyiwa mabadiliko makubwa.Madaraka ya Rais utayapunguzaje bila kuwa na katiba mpya?
Tume ya uchaguzi na madaraka ya Urais viko kwenye katiba, hakuna marekebisho yoyote makubwa yanaweza kufanyika hapo bila kuigusa katiba.Baadhi ya maneno ya kuangaliwa ni kupunguza madaraka ya rais juu ya teuzi hasa za mawaziri. Ili kujenga taifa la kiwajibikaji lazima mawaziri wawe na mkataba wa ajira na wakivurunda wanatimuliwa.