Kama kweli tunahitaji kufanyia marekebisho Katiba Mpya, tuanze na tume Huru ya Uchaguzi na kupunguza madaraka ya Rais

Actually, hata TFF ni chombo huru..kwa maana kwamba haiwajibiki wala haiingiliwi na Mamlaka za Ndani..kuanzia chaguzi zake na uendeshaji....My Tip;

Hakuna YEYOTE anayeishi juu ya ardhi ya Tanzania yupo huru mbele ya RAIS..

Hayupo na hatakuwepo.iwe kwa katiba hii au yeyote ijayo.
 
Ninasoma na ninaangalia ila sijaona kama kuna vita South Africa au Kenya
Husomi magazeti wala TV huangalii. Wewe ni mzigo kama huelewi kinachoendelea Kenya na South Africa.
 
Baadhi ya maneno ya kuangaliwa ni kupunguza madaraka ya rais juu ya teuzi hasa za mawaziri. Ili kujenga taifa la kiwajibikaji lazima mawaziri wawe na mkataba wa ajira na wakivurunda wanatimuliwa.

Tume ya uchaguzi iwe huru na matokeo ya Urais yaweze kupingwa mahakamani.

Mahakama ziwe huru na watu wawe na uhuru wa kudai haki zao bila kuwa na kikwazo cha aina yu yoyote. Majaji wawe wanaomba kazi kama waajiriwa wengine.

"Katiba ni jambo la muda mrefu, katika kipindi cha kati tukayafanyie maboresho yote tuliyoyasema, halafu huko mbeleni tuone kuna haja ya kurekebisha katiba yetu, pengine kutakuwa na haja tu ya kurekebisha baadhi ya maeneo na si kuandika katiba mpya" Mhe. Rais
Nafasi ya IGP itangazwe kwenye gazeti la serikali wananchi waombe atakaye pata jina liende bungeni lipitishwe then Rais amtangaze.
 
Ziwepo tume huru Za mahakamani, uchaguzi na kuweka Elimu ya degree moja kwa wanaogombea ubunge, kidato cha sita udiwani kidato cha nne Mwenyekiti wa kijiji/ mtaa.

Habari ya kujua kusoma na kuandika ifutwe au ibakie huko huko visiwani.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kipengele kilichopo kwenye katiba Kinachosema Rais aliyeko madarakani akifariki maksmu wa Rais awe Rais, haraka sana Kirekebishwe.

Makamu wa Rais awe Rais kwa Muda wa mwaka mmoja then uitishwe uchaguzi mkuu.

Kipengele hicho kinamweka Rais aliyeko madarakani Katika wakati mgumu. .
 
Baadhi ya maneno ya kuangaliwa ni kupunguza madaraka ya rais juu ya teuzi hasa za mawaziri. Ili kujenga taifa la kiwajibikaji lazima mawaziri wawe na mkataba wa ajira na wakivurunda wanatimuliwa.

Tume ya uchaguzi iwe huru na matokeo ya Urais yaweze kupingwa mahakamani.

Mahakama ziwe huru na watu wawe na uhuru wa kudai haki zao bila kuwa na kikwazo cha aina yu yoyote. Majaji wawe wanaomba kazi kama waajiriwa wengine.

"Katiba ni jambo la muda mrefu, katika kipindi cha kati tukayafanyie maboresho yote tuliyoyasema, halafu huko mbeleni tuone kuna haja ya kurekebisha katiba yetu, pengine kutakuwa na haja tu ya kurekebisha baadhi ya maeneo na si kuandika katiba mpya" Mhe. Rais
What do mean by muda mrefu?
 
Maoni yako ni ya kizandiki wewe kada wa Chanzo Cha Matatizo
 
Back
Top Bottom