Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 679
- 870
South Africa, KenyaZitaje nchi zilizo na katiba nzuri na bado hazina amani!
South Africa, Kenya
Husomi magazeti wala TV huangalii.Kuna vita au kuna nini huko?
Husomi magazeti wala TV huangalii. Wewe ni mzigo kama huelewi kinachoendelea Kenya na South Africa.
Mbona unapost vichekesho.?South Africa, Kenya
Nafasi ya IGP itangazwe kwenye gazeti la serikali wananchi waombe atakaye pata jina liende bungeni lipitishwe then Rais amtangaze.Baadhi ya maneno ya kuangaliwa ni kupunguza madaraka ya rais juu ya teuzi hasa za mawaziri. Ili kujenga taifa la kiwajibikaji lazima mawaziri wawe na mkataba wa ajira na wakivurunda wanatimuliwa.
Tume ya uchaguzi iwe huru na matokeo ya Urais yaweze kupingwa mahakamani.
Mahakama ziwe huru na watu wawe na uhuru wa kudai haki zao bila kuwa na kikwazo cha aina yu yoyote. Majaji wawe wanaomba kazi kama waajiriwa wengine.
"Katiba ni jambo la muda mrefu, katika kipindi cha kati tukayafanyie maboresho yote tuliyoyasema, halafu huko mbeleni tuone kuna haja ya kurekebisha katiba yetu, pengine kutakuwa na haja tu ya kurekebisha baadhi ya maeneo na si kuandika katiba mpya" Mhe. Rais
Hao ndo think tank ya CCMMbona unapost vichekesho.? Yaani uhalifu unaosikika ndio sababu unayotoa?
South Africa na Kenya hakuna amani?South Africa, Kenya
South Africa na Kenya hakuna amani?
What do mean by muda mrefu?Baadhi ya maneno ya kuangaliwa ni kupunguza madaraka ya rais juu ya teuzi hasa za mawaziri. Ili kujenga taifa la kiwajibikaji lazima mawaziri wawe na mkataba wa ajira na wakivurunda wanatimuliwa.
Tume ya uchaguzi iwe huru na matokeo ya Urais yaweze kupingwa mahakamani.
Mahakama ziwe huru na watu wawe na uhuru wa kudai haki zao bila kuwa na kikwazo cha aina yu yoyote. Majaji wawe wanaomba kazi kama waajiriwa wengine.
"Katiba ni jambo la muda mrefu, katika kipindi cha kati tukayafanyie maboresho yote tuliyoyasema, halafu huko mbeleni tuone kuna haja ya kurekebisha katiba yetu, pengine kutakuwa na haja tu ya kurekebisha baadhi ya maeneo na si kuandika katiba mpya" Mhe. Rais
Me?What do mean by muda mrefu?
Huyu jamaa hayuko sawa.South Africa na Kenya hakuna amani?
Maoni yako ni ya kizandiki wewe kada wa Chanzo Cha MatatizoBaadhi ya maneno ya kuangaliwa ni kupunguza madaraka ya rais juu ya teuzi hasa za mawaziri. Ili kujenga taifa la kiwajibikaji lazima mawaziri wawe na mkataba wa ajira na wakivurunda wanatimuliwa.
Tume ya uchaguzi iwe huru na matokeo ya Urais yaweze kupingwa mahakamani.
Mahakama ziwe huru na watu wawe na uhuru wa kudai haki zao bila kuwa na kikwazo cha aina yu yoyote. Majaji wawe wanaomba kazi kama waajiriwa wengine.
"Katiba ni jambo la muda mrefu, katika kipindi cha kati tukayafanyie maboresho yote tuliyoyasema, halafu huko mbeleni tuone kuna haja ya kurekebisha katiba yetu, pengine kutakuwa na haja tu ya kurekebisha baadhi ya maeneo na si kuandika katiba mpya" Mhe. Rais
Ahhaa haya yanatoka wapi?Maoni yako ni ya kizandiki wewe kada wa Chanzo Cha Matatizo
Kwa nini?Hawawezi kukubali hilo litokee...