Kama Kweli Unajua Kiingereza, Tuambie Umepata Alama Ngapi Kwenye Maswali Haya ya Kiingereza. Marks Ulizopata Tuwekee Kwenye Comment.

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
9,397
Reaction score
12,415
Habari za muda huu wana-JF,

Kila siku humu jukwaani tunajibishana kwa Kiingereza na wengine tunajiita ma-expert wa lugha ya Malkia. Leo nimeamua kuleta kipimo cha kweli.

Kama unajiamini yai halikupigi chenga, jaribu kupambana na hayo maswali ya kiingereza bila kutumia Google wala AI. Kwa kifupi ukijaribu kutumia Google au AI hutapewa marks.

Maswali ya Kujipima Ujuzi Wangu wa Kiingereza:


Leo ni leo ngoja tuone watu wanapata marks ngapi kwenye english. Tunataka na screenshoot ya marks zako.
 
ok.🐒
 
Mlolongo wa kujisajili huo muda sina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…