Kama Kweli Unajua Kiingereza, Tuambie Umepata Alama Ngapi Kwenye Maswali Haya ya Kiingereza. Marks Ulizopata Tuwekee Kwenye Comment.

Kama Kweli Unajua Kiingereza, Tuambie Umepata Alama Ngapi Kwenye Maswali Haya ya Kiingereza. Marks Ulizopata Tuwekee Kwenye Comment.

Time limit, application errors, speaker pronunciations all attributed to candidate final score; it was a great challenge though.
 
Habari za muda huu wana-JF,

Kila siku humu jukwaani tunajibishana kwa Kiingereza na wengine tunajiita ma-expert wa lugha ya Malkia. Leo nimeamua kuleta kipimo cha kweli.

Kama unajiamini yai halikupigi chenga, jaribu kupambana na hayo maswali ya kiingereza bila kutumia Google wala AI. Kwa kifupi ukijaribu kutumia Google au AI hutapewa marks.

Maswali ya Kujipima Ujuzi Wangu wa Kiingereza:


Leo ni leo ngoja tuone watu wanapata marks ngapi kwenye english. Tunataka na screenshoot ya marks zako.
Ngoja nijifunze kiarabu nasikia peponi allah anaongea kiarabu
 
Time limit, application errors, speaker pronunciations all attributed to candidate final score; it was a great challenge though.
Hii ni challenge kidogo, na hiki ndio kipimo chenyewe cha kupima uwezo wa kumaster kiingereza.
 
Back
Top Bottom