Kama kweli unamchukia Hayati Magufuli fanya haya utuachie tunaompenda

Nawe kama unampenda kazikwe naye kule Kanda pendwa tuache tusiompenda tuendelee kuishi.
 
Weka evidence ya unachokisema kama hun evidence were ni sawasawa na mtu mropokaji tu.Magufuli hakupenda wanasiasa uchwara mfano waangalie wapinzani hawana faida yoyote ya kuitoa CCM madarakani.
 
nafikiri kwenye awamu yake watu wengi ndio walianza kufuatilia kwa ukaribu nini kinaendelea kwenye rasilimali zetu, huko nyuma ni kama vile wabongo walikuwa wameshaisusa nchi yao na hawataki hata kujua ni nini kinaendelea
Tukiwa wakweli hii ni kazi ya upinzani hasa bunge la 9 chini ya Samuel sitta ndio wapinzani na wabunge wazalendo waliwafungua sana wananchi kuhusu madudu serikalini. Nadhani unakumbuka masakata ya Dowans, Kagoda, Deep green, Gesi mtwara, Richmond, Tegeta Escrow n.k. so tuseme by the time JPM anachukua urais tayari elimu ya uraia ilikua juu sana.

JPM alichofanya ni kufundisha watu conspiracy theory, yaani wawe wadadisi.... so I'll give that to him.
 
Typical JPM follower, unashindwa kusoma unabaki kujibu kwa hisia.

Nilichosema ni kwamba Wajerumani walifanya maendeleo makubwa sana hapa ila tuliwapinga sio sababu ya miundombinu ila UONGOZI.

Same to Hitler, aliikuta nchi ni maskini kuliko most Ulaya ila ikageuka kuwa top 5 economy ndani ya miaka 5 pekee!! Ila je waliompinga Hitler ni sababu ya mafanikio yake kiuchumi au sababu ya udikteta?

Mfano wa mwisho, Makaburu Afrika kusini waliifanya Sauzi hadi iwe ina vinu vya nuclear na uchumi ulikua juu kuliko alipopewa mtu mweusi. Swali ni je kama issue ni miundombinu pekee kulikua na sababu gani Mandela kumpinga Kaburu?

Uongozi ni zaidi ya miundombinu. Hata JK licha ya kuitwa fisadi ila alijenga miundombinu ikiwemo mwendokasi, lami mikoa yote, umeme wa gesi, mlonganzila , Udom n.k ila bado tulimpinga
 
Magufuli ndiyo kasimamia yote hayo tangu akiwa waziri
 
Weka evidence ya unachokisema kama hun evidence were ni sawasawa na mtu mropokaji tu.Magufuli hakupenda wanasiasa uchwara mfano waangalie wapinzani hawana faida yoyote ya kuitoa CCM madarakani.
Weka evidence ya unachokisema kama hun evidence were ni sawasawa na mtu mropokaji tu.Magufuli hakupenda wanasiasa uchwara mfano waangalie wapinzani hawana faida yoyote ya kuitoa CCM madarakani.
Wanasiasa uchwara? Mbona alikumbatia mafisadi yaliyotajwa na ripoti ya makinikia? Vipi ripoti ya Bashiru kuhusu majizi wa mali za CCM kuna aliyekamatwa hadi leo?

JPM alijua kuwachota nyie wajinga tu.

Alafu ulivyo mpumbavu unasema wapinzani hawana faida cha ajabu huyo JPM wenu alikua anawapa wapinzani ubunge wakihamia CCM. Bila kusahau mawaziri na manaibu waziri 7 katika utawala wake walikua wametoka directly Chadema.

Kama hawafai kwanini aliwapa uwaziri walipohamia CCM? embicile
 
Usitufokee JF! Magufuli ni mtu moja kati ya wananchi milioni 60 plus nchi hii. Tusichoshane.
 
Hela zetu dogo na bado halikujengwa flyovet tuliyotaka , ameiba hela yetu kaenda kujenga bridge tu

Mwendazake alikuwa mwizi na sheitwan mkubwa
 
Na Magufuli alivyokuwa Rais hapakiwa na mawaziri?

Hizi ni akili za wapi?
Ndiyo aliwasimamia vizuri na hela zilitumika vizuri kufanya kazi.angalia sasa hivi kila waziri ni wapigaji na miradi zinadoda na watu wanapiga hela ovyoovyo alafu mnacheka tu.Magufuli alikuwa msimamizi mzuri sana
 
Aisee 😯 alikuwa Rais wa Dar
 
Hela zetu dogo na bado halikujengwa flyovet tuliyotaka , ameiba hela yetu kaenda kujenga bridge tu

Mwendazake alikuwa mwizi na sheitwan mkubwa
Wajinga kama nyie na wenye vyeti feki na mafisadi lazima muone hivyo mkiambiwa wekeni evidence ya hela iliyoibiwa hamuwezi.aliwabana sana mafisadi na wapenda Magendo ndo maana mambo yalikuwa yanaenda.
 
Hiyo miundombinu sio mali ya magufuli. Imejengwa na kodi za watanzania. Yeye kuwa rais haifanyi hizo ziwe mali yake, halihalalishi ukatili uliotendeka yeye akiwa kiranja mkuu na akafumbia macho, na wala sio kigezo cha kupendwa. Kumbuka akiwa kwenye hiyo ajira ya urais tulimlipa mshahara, na hakuna chochote alichofanya kinaweza kuwa hisani. Yeye mwenyewe hakuwa na upendo. Pia tofautisha kati ya kutukana na kuelezea tabia/ubinadamu wa magufuli.
 
namnukuu rais wa awamu ya pili alikubali mapigo mwenyewe akasema wewe ni kichwa wote tulishindwa lakini wewe umeweza kwa muda mfupi sana bip up sana JPM utabaki mioyoni mwa watanganyika kwa muda wote hakuna kama JPM.
Binafisi huwa naamini ni heri ufanye jambo hata kama hautalifanya kwa usahihi kuliko kutokulifanya kabisa...kikubwa na cha muhimu uwe umeonesha nia ya dhati kabisa kwenye jambo hilo.

Magufuli alivyofichua sakata la Makinikia na madudu mengine mengi yaliyokuwa yakiendelea kwenye sekta mbali mbali za uma kama watumishi hewa,mishaara hewa,ukwepaji kodi n.k wengi tulimuona ni shujaa haijalishi hata kama alikabiliana na mambo hayo kwa namna ambayo sio sahihi, ila kitendo tu cha yeye kuonesha uthubutu inamfanya kuwa kuwa kipekee.
 
Wajinga kama nyie na wenye vyeti feki na mafisadi lazima muone hivyo mkiambiwa wekeni evidence ya hela iliyoibiwa hamuwezi.aliwabana sana mafisadi na wapenda Magendo ndo maana mambo yalikuwa yanaenda.
Ukitaka kuulizia kama yeye na maswahiba wake waliiba au la, kamuulize ex-CAG professor Assad. Usiulizie evidence jamii forum.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…