Kama kweli unamchukia Hayati Magufuli fanya haya utuachie tunaompenda

Kama kweli unamchukia Hayati Magufuli fanya haya utuachie tunaompenda

Usipite na gari lako Kijazi interchange.

Kwa wanao toka Mbezi kuelekea kariakoo na Posta pitia njia ya Goba au maji chumvi.

Fanya hivyo boss utakua na amani.

Tuache kudharau viongozi wetu tusitukane tuwaheshimu wote.

Kama unaona unakereka na uongozi wa kiongozi yeyote jenga hoja njoo na data kuliko kutukana viongozi njoo na data.

Humpendi lakini bado unajilazimisha kupita kwenye daraja alilosimamia. Huoni kama unajiumiza.
Magufuli ni kama maji,
Usipoyanywa utayaoga !
Alama zake ni nyingi sana Nchini 🙏
 
Waliokua wameshindwa kujenga..Pesa hazikuwepo?. Kama zilikuwepo, kiliwashinda nn??

Kama hazikuwepo, Magufuli alitoa wapi??.
Kama JPM alikuta kuna miundombinu ya kulijenga hilo daraja, kuna system ya yeye kukaa na kutoa maelekezo ya kujengwa daraja na sauti ikamfikia anayetakiwa kujenga, kuna taasisi na watendaji wenye uzoefu wa kulijenga daraja, kuna walinzi wa kumlinda akisimamia ujenzi wa daraja, kuna mifumo ya kukusanyia mapato ya kulijenga hilo daraja swali lako lingekuwa la maana.

Yaani kila kitu awe amekiasisi na kukitekeleza hajaendeleza walipoishia wenzake ndipo point ya swali lako ingeleta maana.

Hata hivyo kupigana na kupambana na JPM sasa hivi ni ujinga kama ujinga wanaofanya wanaomwabudu.
 
Jiwe ndiyo mtu wa hovyo kuliko wote waliowahi kupewa madaraka ya urais nchi hii:-
1. Alikuwa mporaji, mtekaji, muuaji na mpiga watu risasi.
2. Aliunda kundi la watu wasiojulikana lililokuwa linaua na kuteka watu.
3. Alikuwa muuaji wa uchumi wa nchi kwani alikuwa anapigana kufa kupona ili kuua sekta binafsi
4. Hivyo vidaraja unavyoviita flyover ni ushubwada tu ukilinganisha na mauaji ya watu
5. Alikuwa hapendi demokrasia. Alizima internet siku ya uchaguzi, aliwachukia wapinzani na upinzani na akawafukuza nchini wapinzani. Mshenzi sana yule.

Usinichoshe yanatosha kwa sasa
Tanzania hamna private sector ila tuna wachuuzi na wahujumu Uchumi kama Itel muuza makasha ya simu na betri kupewa tenda ya kuagiza Sukari!!
 
Tukiwa wakweli hii ni kazi ya upinzani hasa bunge la 9 chini ya Samuel sitta ndio wapinzani na wabunge wazalendo waliwafungua sana wananchi kuhusu madudu serikalini. Nadhani unakumbuka masakata ya Dowans, Kagoda, Deep green, Gesi mtwara, Richmond, Tegeta Escrow n.k. so tuseme by the time JPM anachukua urais tayari elimu ya uraia ilikua juu sana.

JPM alichofanya ni kufundisha watu conspiracy theory, yaani wawe wadadisi.... so I'll give that to him.
Unajiita "Zitto junior" so ni obvious utakuwa na mawazo,akili na chuki kali sana kwa magufuli kama alivyo kabwe tu.

Well, nakubaliana na wewe kwa asilimia kadhaa kwenye hiyo paragraph yako ya kwanza hasa hapo uliposema kwamba wakati jpm anaingia madarakani wabongo kwa kiasi fulani walikuwa na ufahamu au utambuzi kulinganisha na miaka ya nyuma yake...!!

Wapinzani kipindi cha Sita na makinda walijitahidi kuleta mshike mshike ambao ulichangia kwa kiasi kikubwa kuwaweka aware watanzania na ufisadi, ila kutokuchukuliwa hatua yoyote ile kwa mafisadi wenyewe kulifanya wabongo kuanza kupuuzia habari za kisiasa na matukio mbali mbali yanayoendelea nchini yanayohusu ufisadi.

Kuhusu kufundisha watu conspiracy theories hizo ni fikra zako binafsi ambazo ziwezi nikazinunua hilo nawaachia nyie wafusai wa zitto, mimi ninachojua ni kwamba alionesha nia ya dhati ya kulibadilisha taifa hili ikiwa pamoja na kulifanya kuwa hardworking nation na hiyo spirit tayari ilikuwa imeshaanza kumea.
 
Kuhusu kufundisha watu conspiracy theories hizo ni fikra zako binafsi ambazo ziwezi nikazinunua hilo nawaachia nyie wafusai wa zitto, mimi ninachojua ni kwamba alionesha nia ya dhati ya kulibadilisha taifa hili ikiwa pamoja na kulifanya kuwa hardworking nation na hiyo spirit tayari ilikuwa imeshaanza kukumea.
Alibadilishe taifa hili ili liweje? Magufuli alikuwa atuharibia nchi tu ndiyo maana hata Mungu mwenyewe akamtupa jehanam.

Elewa hivyo miaka 5 tulikuwa vile dhoofu hali, je angekuwapo mpaka sasa hivi si tungekuwa kama Somalia au Zimbabwe.
 
Umeandika kama mtu ambaye bado ana frustration za kutumbuliwa na bado hajakaa sawa kiakili.

Sasa kama mtu mwenyewe akili zako zimefunikwa na chuki kali sana kiasi kwamba chuki hizo zimeunyima nafasi hata kidogo ubongo wako kufikiri kwa usahihi utawezaje kuoana kama kuna mabadiliko chanya yaliyokuwa yanaletwa na uongozi wake??

Hili kudhiirisha wewe hauko sawa kiakili sababu ya chuki kwa mtu ambaye hata hayupo, angalia umeamaua kuni-quote kakipande tu ambako ndio kamekutekenya na kubwata maneno yote haya.

Ndio tunajua Mungu wa mafisadi ndio alimtupa huko alipo.

Kingine kama wewe unamchukia endelea kumchukia hivyo hivyo acha waliommissi na wanaotambua mchango wake wanendelee kumuhusudu...
 
Tusipangiane chuki. Kila mmoja ashinde mechi zake !! Shida iko wapi? Magufuli alikuwa ni shetani tu ndani ya mwili wa binadamu.

Kama huamini angalia tukio la Lissu kushambuliwa na risasi 16. Aliyemshambulia yuko huko jehanam na Lissu bado anapumua.
 
Huyo mzee alikuwa jembe kweli kweli, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Alikuwa anafatilia miradi kwa umakini, na upigaji ulipungua kwa kiasi chake.
Alikuwa anafuatilia miradi ili kuhakikisha anapata 10% yake. Miradi yote mikubwa ya Kanda ya ziwa aliwapa Mayanga Construction ambaye ni mtu wameoa nyumba moja
 
Kwani Magufuli alijenga kwa pesa zake?
Si bora JPm alijenga daraja ili kwa kutumia usimamizi mzuri wa Kodi zote...huyu wako mnaemshabikia kajimilikisha pesa zote anagawa na sasa kuna pesa inatoka inaitwa Goli la Mama...
 
Alikuwa anafuatilia miradi ili kuhakikisha anapata 10% yake. Miradi yote mikubwa ya Kanda ya ziwa aliwapa Mayanga Construction ambaye ni mtu wameoa nyumba moja
kwa hiyo Samia kuwapa DPW miradi ya bandari,mwendokasi na Misitu ekali laki tisa na ushee wameolewa wote Huko dubai..??? Vipi Mauzinde mbona unazingua.
 
Mimi nili
Magufuli nilimpenda sana, ilivyotangazwa amefariki nilishindwa kula na kulala
Miumi nilipata taarifa kikielekea nyumbani nilipigiwa simu na jamaa zangu ikabidi turudi baa tukakesha mpaka asubuhi. Ndugu zangu wengi walikufa kwa mawazo baada kufilisiwa. Nina bosi wangu mmoja alianza biashara miaka ya 80 akafungiwa akaunti zake zote ghafla akafa kwa presha. Acheni Mungu aitwe Mungu aisee, mtu alianza na duka na kufuata mali kwa baiskeli kuuleta dukani leo akafungiwa akaunti ?
NB: Sina rafiki mwanasiasa au ndugu aliewahi kufanya kazi serikalini
 
Back
Top Bottom