Kama kweli unamchukia Hayati Magufuli fanya haya utuachie tunaompenda

Kama kweli unamchukia Hayati Magufuli fanya haya utuachie tunaompenda

kwa hiyo Samia kuwapa DPW miradi ya bandari,mwendokasi na Misitu ekali laki tisa na ushee wameolewa wote Huko dubai..??? Vipi Mauzinde mbona unazingua.
Kwanza kajifunze kusoma na kuandika ndiyo uje JF kubishana na wenye akili. Hakuna neno "ekali" kwenye Kiswahili
 
Wajinga kama nyie na wenye vyeti feki na mafisadi lazima muone hivyo mkiambiwa wekeni evidence ya hela iliyoibiwa hamuwezi.aliwabana sana mafisadi na wapenda Magendo ndo maana mambo yalikuwa yanaenda.
Acha uongo nitajie mtu yoyote aliyekamatwa kwenye sakata la wizi wa mali za CCM. Au aliyekamatwa kwenye uchunguzi wa makinikia.
 
Leo mtasema yote mnatuletea unafiki hapa. Sijawai kupewa pesa na mtu wala rushwa.
Linapokuja swala la kuusema ukweli lazima tuseme.
Kama humpendi kwanini unapita kwenye daraja alilosimamia huoni kama unaumiza moyo wako.
Mkuu wewe ulishajenga reputation kwa mada serious za gesi na nishati kwa ujumla, hizi petty posts zimetoka wapi tena?

Miundombinu hata wakoloni walijenga ila bado tuliwapinga. Ni kama JPM alisema mabeberu hawafai na chanjo zao ni feki ila licha ya matusi yote alipokea mikopo yao na alitumia pacemaker ya mabeberu kusukuma moyo wake.

Kama naye alichukia mabeberu why asingeacha kutumia mikopo yao? Naye alikua mnafiki ama?
 
Magufuli alivyofichua sakata la Makinikia na madudu mengine mengi yaliyokuwa yakiendelea kwenye sekta mbali mbali za uma
Well and good,unaweza nitajia katika vigogo wote 9 waliohusika na kashfa ya makinikia kuna yeyote alikamatwa au kufunguliwa kesi upande wa serikali?

Ooh pia unajua kwamba Mwanyika aliyekua Vice President wa ACACIA alipewa ubunge baada ya sakata la makinikia? Kweli kampuni tuliyoambiwa inatuibia madini badala ya kumtupa jela tunampa ubunge? Alafu unasifia eti kuibua bila hatua kuchukuliwa kuna faida gani?
 
Usipite na gari lako Kijazi interchange.

Kwa wanao toka Mbezi kuelekea kariakoo na Posta pitia njia ya Goba au maji chumvi.

Fanya hivyo boss utakua na amani.

Tuache kudharau viongozi wetu tusitukane tuwaheshimu wote.

Kama unaona unakereka na uongozi wa kiongozi yeyote jenga hoja njoo na data kuliko kutukana viongozi njoo na data.

Humpendi lakini bado unajilazimisha kupita kwenye daraja alilosimamia. Huoni kama unajiumiza.
View attachment 3019558
Kwa mantiki hiyo wale wasiompenda Mzee wa Msoga wasipite kwenye maelfu ya kilometers ya barabara alizojenga?
Hoja ya hovyo sana.
 
Well and good,unaweza nitajia katika vigogo wote 9 waliohusika na kashfa ya makinikia kuna yeyote alikamatwa au kufunguliwa kesi upande wa serikali?

Ooh pia unajua kwamba Mwanyika aliyekua Vice President wa ACACIA alipewa ubunge baada ya sakata la makinikia? Kweli kampuni tuliyoambiwa inatuibia madini badala ya kumtupa jela tunampa ubunge? Alafu unasifia eti kuibua bila hatua kuchukuliwa kuna faida gani?
Ndio maana ninasema ni heri kufanya jambo hata kama hautolifanikisha au kulifanya kwa usahihi kuliko kutolifanya kabisa, mathalani tu jambo hilo lina tija na maslahi kwa umma kikubwa umeonesha nia na inakuwa ni mwanzo mzuri hata kwa mwingine kuja kuendeleza ikiwa kama naye atakuwa na nia ya dhati kama yako.

Lile sakata la makinikia lilikuwa sio jepesi hata kidogo, mizizi yake ilikuwa imejichimbia chini sana tangu awamu ya pili, kwa hiyo ni dhairi alikuwa amejiingiza kwenye vita nzito sana yenye kutengeneza maadui wengi kutoka ndani na nje ya nchi, na kinamna fulani alikuwa anapigana peke yake..... na mimi huwa naamini lile sakata lilichangia kwa kiasi kikubwa sana kumuondoa... sitokuweza kukupa jibu sahihi unalolitaka kwamba kwanini wale vigogo 9 wa serikali hawaushtakiwa, ila tu nitasema hao vigogo 9 wa serikali walikuwa ni vidagaa tu kweye lile sakata na kupona kwao ni pengine kwa sababu mizizi haikuguswa.

Kuibua bila hatua kuchukuliwa? Well ilikuwa ni hatua moja ya kuwaweka aware nini kinaendelea na hivyo kwa namna moja ama nyingine ni nyinyi wanainchi kushurikiana na serikali kuzuia hayo madudu yasiendelee kuwepo.
 
Well and good,unaweza nitajia katika vigogo wote 9 waliohusika na kashfa ya makinikia kuna yeyote alikamatwa au kufunguliwa kesi upande wa serikali?

Ooh pia unajua kwamba Mwanyika aliyekua Vice President wa ACACIA alipewa ubunge baada ya sakata la makinikia? Kweli kampuni tuliyoambiwa inatuibia madini badala ya kumtupa jela tunampa ubunge? Alafu unasifia eti kuibua bila hatua kuchukuliwa kuna faida gani?
Na pia mimi simchukulii magufuli kama malaika/mtu mkamilifu, ana madhaifu/maudhi yake mengi tu aliyokuwq akiyafanya ambayo hata mimi binafsi yalikuwa yananikera... ila ninachokiona hapa nyie haters wake ni kama mnataka watu tuangalie yale mabaya yake tu hili kufurahisha nafsi zenu na ndio maana mnafanya kuzi-crop comment zangu na kisha kujibu tuvipande ambavyo hamkubaliani navyo.
 
Alikuwa anafuatilia miradi ili kuhakikisha anapata 10% yake. Miradi yote mikubwa ya Kanda ya ziwa aliwapa Mayanga Construction ambaye ni mtu wameoa nyumba moja
Watanzania mna nongwa, hata km mnamtuhumu hivyo lakini si kawaachia miradi mingi iliyokamilika na mingine inamaliziwa na Mama.
 
Watanzania mna nongwa, hata km mnamtuhumu hivyo lakini si kawaachia miradi mingi iliyokamilika na mingine inamaliziwa na Mama.
Kutuachhia miradi ndiyo nini? Kwani yeye hakukuta kazi zilizoanzishwa na JK? Haya mambo yote yako kwenye vision 2025 iliyoandikwa na BW Mkapa mwaka 2000. Na humo ndiyo CCM wanapoandika Ilani ya uchaguzi wanasoma na kuweka mambo watakayotekeleza. Projects zote ukiacha uwanja wa ndege wa Chato, daraja la Busisi na Bwawa la umeme la Nyerere vimo kwenye hiyo document. Alianza ku-implement Mkapa mwenyewe, akafuata JK na Magufuli naye akafanya ya kwake. Na sasa Samia anamailizia viporo na kufanya mengine.

Halafu kwa kuwa vision 2025 ndiyo inamalizika mwaka kesho, tayari timu ya vision 2050 chini ya Waziri Kitila Mkumbo imeanza kukusanya maoni na inaandika hiyo vision ambayo ndiyo itatuongoza hadi mwaka 2050
 
Kikubwa kafanya alichoahidi kwa ukubwa zaidi, na angeendelea kuwepo angefanya vingi vizuri zaidi.!! Hilo ndio muhimu.
 
Shida nini mkuu siku hizi reasoning yako ina plummet? Ni sawa na kusema kwakuwa Nyerere alipinga wakoloni basi akavunje Reli ya kati, akavunje UDSM, akavunje bandari n.k? Ubaya wa JPM ni leadership style sio barabara.

Kwani Mandela kipindi anakataa makaburu hawakuwa wamejenga barabara nchi nzima? Very poor reasoning.

JPM anapingwa kwa udikteta wake kama ambavyo Hitler licha ya maendeleo makubwa aliyowaachia ujerumani, anakumbukwa kwa udikteta wake.
haya huyu ambae si dikiteta amewaletea nn
 
Kikubwa kafanya alichoahidi kwa ukubwa zaidi, na angeendelea kuwepo angefanya vingi vizuri zaidi.!! Hilo ndio muhimu.
Hakuna kikubwa alichofanya. Kaharibu sana. Kama unaweza ukabana demokrasia ya vyama vingi na uhuru wa maoni ambavyo vinatambulika na Katiba iliyokuweka madarakani unakuwa umeturudisha nyuma miaka 35 kwenye chama kimoja.

Hivyo yote UNAYOYAFANYA yanakuwa kazi bure.

Mbona hata Wakoloni wa Ujerumani na Uingereza walijenga miundombinu? Lakini tuliwafukuza kwa sababu tulitaka UHURU. Sasa Magufuli anaua watu na kunyang''anya fedha za wafanyabiashara kwa kisingizio cha kujengo miundombinu?? That was CRAZY na ndiyo maana ALIKUFA
 
viva magufuli forever
 
Back
Top Bottom