Hata Nduli Idd Amin Dadaa, aliijenga Uganda!Shida nini mkuu siku hizi reasoning yako ina plummet? Ni sawa na kusema kwakuwa Nyerere alipinga wakoloni basi akavunje Reli ya kati, akavunje UDSM, akavunje bandari n.k? Ubaya wa JPM ni leadership style sio barabara.
Kwani Mandela kipindi anakataa makaburu hawakuwa wamejenga barabara nchi nzima? Very poor reasoning.
JPM anapingwa kwa udikteta wake kama ambavyo Hitler licha ya maendeleo makubwa aliyowaachia ujerumani, anakumbukwa kwa udikteta wake.