Kama kweli wazungu wanaipenda Africa basi wasimamishe misaada mara moja

Kama kweli wazungu wanaipenda Africa basi wasimamishe misaada mara moja

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU KRISTO MFALME WA WAFALME

Kama ni kweli hawa watu weupe wanaipenda Africa na wanatupenda WA Africa bas wasimamishe misaada mara moja

Africa tunajiweza sana
Tuna uwezo wa kununua magari mazuri ya kila aina

Leo ungeuona msafara wa mama samia ndo ungejua kuwa Africa tunajiweza
Nimeshudia magari elf yote ya million mia nane nane ya bei ndogo milion mia nne na zote zimejaa mafuta

Wazungu waache kuleta misaada Africa maana viongozi wanaifuja tu

SAYUNI BOY
 
Wao kutoa misaada waliona upande wa pili wa huo utajiri ulio ushudia wewe.
 
Back
Top Bottom