Waandikishaji wanaenda kupiga tu pesa ndio maana hata kama hamna mwamko wataenda tu vituoniNi kweli usemacho. Viongozi wanatuona wananchi mafala sana. Na waandikishaji nao wanaamka asubuhi kwenda kufanya hiyo kazi. Wanachotaka ni kukatisha tamaa watu wasiende kupiga kura. Lakini wamenoa
Kapige bwana 2025 umchague mwanamke mwenzakoHata mimi, na ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza na mwisho kupiga kura nchi hii.
Aliyedizaini hili daftari alaaniwe yeye na Watoto na ukoo wake na vizazi vyakeHata mimi nimejiandikisha juzi. Makarani hawanijui wala mimi siwajui, hawakuniuliza chochote mbali na majina matatu na umri. Nikaona kabisa naweza kwenda kujiandikisha mtaa mwingine tena. Kuna uwezekano mkubwa wa daftari kujaa majina ya kubumba.
Sintapiga kura.
Ndio matokeo ya kuweka siasa kwenye kila kituMwenyewe nilienda jumapili nilishangaa sana.
Niliwauliza vitu gani nahitaji kuwa navyo iliniweze kujiandikisha, nikaambiwa huhitajiki chochote zaidi ya wewe mwenyewe na majina yako.
Nikauliza utathibitisha vipi kama haya ni majina yangu wakasema sio lazima kuthibitisha muhimu niweke saini yangu.
Sijajua kwanini wameondoa kipengele cha kadi ya mpiga kura ila naona ni udhaifu au inafanyika bora liende.
Ni Walimu kama kawaida yao.....Hii Nchi Walimu na Polis ndio wanaoturudisha nyumaWaandikishaji wanaenda kupiga tu pesa ndio maana hata kama hamna mwamko wataenda tu vituoni
Nimekuelewa vizuri, nimejiandikisha nitapiga KuraH ha hahahaha aaa! Mkuu najaribu kuwa objective ili tueweze kusonga mbele, Mkuu. Tukisusa watakula wao tu! Tunatakiwa kula wote njia ya kufanikisha hili ni kushiriki sote kwa umoja wetu kushughulikia masuala yetu kama nchi.
===
Wakuu Asubuhi njema, sitaweza kuendelea kujibu hoja kwa Sasa hadi wakati mwingine. Mbarikiwe.
Hizi ndio sehemu zao za kujidai.Ni Walimu kama kawaida yao.....Hii Nchi Walimu na Polis ndio wanaoturudisha nyuma
Wanaenda kukopa tenaHizi ndio sehemu zao za kujidai.
Wakimaliza tu wanaanza kutia huruma kama kawaida yao
Inaumiza Sana sanaNilipo nimemsikia kiazi(mjumbe) wa eneo letu akipayuka kwa jazba akijaribu kuwatisha watu kwamba watafuatilia wale wote wasiokwenda kujiandikisha na hatimaye kupiga kura basi watakapohitaji huduma za wenyeviti wa mitaa hawatowahudumia! Binafsi naona wanazidi kuchanganyikiwa na mgomo wa watu kutokwenda kujiandikisha kwenye daftari lao la mchongo.
kura ipi utalindaMuhimu kushiriki na kulinda kura ili kuepuka kulalamika baadae. Inabid wanaogombea wawaweke wasimamizi imara na wanao ogopeka
Wewe unawajua wote mtaani kwako? Unamjua kila mtu mtaani kwako?Unakwenda kupiga kura sehemu unapojulikana! Tunajuana Mtaani!
Ulitaka utumike utaratibu upi?
Njia Rahisi na uhakika ni kujipanga mbele ya mgombea unayemtaka! Kwanza hiyo, ingepunguza gharama nyingi za uchaguzi!
nafikiri kashakufa bado uzao wakeAliyedizaini hili daftari alaaniwe yeye na Watoto na ukoo wake na vizazi vyake
🤣🤣🤣🤣🤣 haya.Kapige bwana 2025 umchague mwanamke mwenzako
hata akiacha kura yake ni moja tu ,tuna watanzania miloni 60 kwahiyo hata akiwaambia na nduguzake wote wasipige kura haina shidaJana nilienda kujiandikiasha ili kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa. Nikakuta kumbe unataja majina yako matatu, unaweka sahihi, msimamizi nae anaweka sahihi halafu ndio imetoka hivyo.
Yaani Nikajiuliza na kucheka tu, ni Watu wangapi wataingizwa ambao ni fake? Waandaaji wameshindwaje hata kutumia akili za kawaida Tu nyingine kuchukua tahadhari ya Watu wasiostahili kutokuingizwa au kuandikwa?
Kwa muktadha huu, Watu WA CCM wataenda kujifungia na hili daftari na kuandika majina yoyote kwa idadi yoyote ile na HAKUNA kitu kitatokea.
Nishauri Tu kuwa, ni muhimu sana kutumia akili zetu KULIKO SIASA kwenye kitu muhimu kama hiki.
Daftari gani huulizwi hata unaishi wapi, huulizwi kitambulisho, huulizwi taarifa zozote zile zaidi ya kutaja jina na kusaini?
Leo nitaenda kujiandikisha kituo kingine tena na nitawapa mrejesho na mniambie kama kuna umuhimu WA uchaguzi wa kipumbavu namna hii.
Pia soma:
LGE2024 - Uzi Maalum wa Kasoro na Rafu kwenye zoezi zima la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Prof. Assad: Sitapiga tena kura labda mfumo uwe wa kidigitali
Ndio akili zetu hizi imaginehata akiacha kura yake ni moja tu ,tuna watanzania miloni 60 kwahiyo hata akiwaambia na nduguzake wote wasipige kura haina shida