Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Hata majina hamna namna ya kuyahakikisha. Mimi nilimpa kadi maana majina yangu ni complex ukiyataja. Labda kwa vile ni uchaguzi wa serikali za mtaa lkn kwa uchaguzi mkuu hii style ni kimeo++++Ndio maana vitoto vya shule vinaandikishwa