LGE2024 Kama lile ndio Daftari la kujiandikisha kupiga kura, Professor Assad yuko Sahihi kuwa hatapiga kura

LGE2024 Kama lile ndio Daftari la kujiandikisha kupiga kura, Professor Assad yuko Sahihi kuwa hatapiga kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Huyo mgombea angejipanga sehenu ngapi? Firia mbunge ukubwa wa jibu au hata tu diwani. Unakuta Kata moja ina vijijini ht vinne na viko mbalimbali kuunda hiyi Kata je huyo mgombea ataenda kusimama wapi ili wananchi wakajipange mbele yake?
Zina pritiwa picha kubwa za wagombea Waubunge, udiwani, na Hata uRais. Zinawekwa sehemu maalumu za kupigia kura. Ni Rahisi tu!
 
Vishikwambi vingefaa kwenye Hili zoezi, mtu unakuja na namba Yako ya NIDA wanaingiza then details zako zinakuja unajaza na kwenye register Yao Ile, mtu akijiandikisha mara mbili namba ya NIDA Ile inatakiwa kuonesha.
 
Jana nilienda kujiandikiasha ili kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa. Nikakuta kumbe unataja majina yako matatu, unaweka sahihi, msimamizi nae anaweka sahihi halafu ndio imetoka hivyo.

Yaani Nikajiuliza na kucheka tu, ni Watu wangapi wataingizwa ambao ni fake? Waandaaji wameshindwaje hata kutumia akili za kawaida Tu nyingine kuchukua tahadhari ya Watu wasiostahili kutokuingizwa au kuandikwa?

Kwa muktadha huu, Watu WA CCM wataenda kujifungia na hili daftari na kuandika majina yoyote kwa idadi yoyote ile na HAKUNA kitu kitatokea.

Nishauri Tu kuwa, ni muhimu sana kutumia akili zetu KULIKO SIASA kwenye kitu muhimu kama hiki.
.
Daftari gani huulizwi hata unaishi wapi, huulizwi kitambulisho, huulizwi taarifa zozote zile zaidi ya kutaja jina na kusaini?

Leo nitaenda kujiandikisha kituo kingine tena na nitawapa mrejesho na mniambie kama kuna umuhimu WA uchaguzi wa kipumbavu namna hii
Aheri hata wangeuliza namba ya nyumba!
Mimi nilimuuliza huyo mundikishaji ndio tayari! Yaani jina umri na sain!
Halafu kazi ndogo namna hii ndio watoe siku nyingi kiasi hicho za kuanfikisha!
 
Huyo mgombea angejipanga sehenu ngapi? Firia mbunge ukubwa wa jibu au hata tu diwani. Unakuta Kata moja ina vijijini ht vinne na viko mbalimbali kuunda hiyi Kata je huyo mgombea ataenda kusimama wapi ili wananchi wakajipange mbele yake?
Kila chama kiwe na box lake wapiga kula wanakwenda kwa chama wanacho taka kutumbukiza kula chamsingi wapiga kula wawe sahihi pasiwe na mapandikizi wala kula za pembeni
 
Ukipitia comments za baadhi yetu humu ndani unagundua watu wanashindwa kutofautisha kati ya uchaguzi wa serikali za mitaa ambao uandikishaji wa wapiga kura ndo unaondelea sasa na unasimamiwa na Tamisemi na uchaguzi mkuu (wa madiwani, wabunge na Rais) unaosomamiwa na Tume "huru"
ya uchaguzi ambao mchakato wake ni hapo mwakani
 
Sijapiga kura kuanzia mwaka 2020 baada ya uchafuzi wa Magufuli ule mwaka. Sijioni nikipiga kura tena nchi hii, sitaki kuingia kwenye takwimu za kuhalalisha uchafuzi.

Serikali na CCM hawana mpango wa kuwapa wananchi haki ya kuchagua viongozi wanaowataka. Tunapoteza muda tu na hizi chaguzi
 
Kukiwa na mfumo madhubuti ni vyema kupiga Kura ila kwa upumbavu huu? Ni wastage of time and resources wala hata tusidanganyane. Ninachoshangaa, yaani Huko Serikalini hakuna MTU mwenye akili hata mmoja akashauri mambo ya msingi?
Hayo ya msingi yakishauriwa hayawezi kufuatwa maana itabomoa himaya inayoendelea kulindwa
 
Nilipowasikia chadema wanasema wamekubali kushiriki chaguzi hizi nikajisemea kimoyomoyo kuwa kumbe hii nchi ina wapinzani wajinga Sana!
 
Unakwenda kupiga kura sehemu unapojulikana! Tunajuana Mtaani!
Ulitaka utumike utaratibu upi?
Njia Rahisi na uhakika ni kujipanga mbele ya mgombea unayemtaka! Kwanza hiyo, ingepunguza gharama nyingi za uchaguzi!
Labda kwenye kitongoji chako, kuna wengine tukijulikana sana labda nyumba ya pili tena kwa sura tu.

Pili, tunatakiwa kujiandikisha vituo vingapi? Jitihada gani zimefanyika kuona watu hawajiandikishi zaidi ya mara moja?

Kwa kuangalia sura unaweza jua kwa usahihi kiasi gani kati ya mtu wa miaka 17 na 18?

Leo nikijiandikalisha Juma nikakaa siku tatu nikaenda nikajiandikisha kama John? inakuaje hapo?
 
Jana nilienda kujiandikiasha ili kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa. Nikakuta kumbe unataja majina yako matatu, unaweka sahihi, msimamizi nae anaweka sahihi halafu ndio imetoka hivyo.

Yaani Nikajiuliza na kucheka tu, ni Watu wangapi wataingizwa ambao ni fake? Waandaaji wameshindwaje hata kutumia akili za kawaida Tu nyingine kuchukua tahadhari ya Watu wasiostahili kutokuingizwa au kuandikwa?

Kwa muktadha huu, Watu WA CCM wataenda kujifungia na hili daftari na kuandika majina yoyote kwa idadi yoyote ile na HAKUNA kitu kitatokea.

Nishauri Tu kuwa, ni muhimu sana kutumia akili zetu KULIKO SIASA kwenye kitu muhimu kama hiki.
.
Daftari gani huulizwi hata unaishi wapi, huulizwi kitambulisho, huulizwi taarifa zozote zile zaidi ya kutaja jina na kusaini?

Leo nitaenda kujiandikisha kituo kingine tena na nitawapa mrejesho na mniambie kama kuna umuhimu WA uchaguzi wa kipumbavu namna hii
Hata mimi siwezi kupiga kura kwa daftari kama lile naona limekaa kimizengwe sana mara aakwenda nalo mwandikishaji nyumbani mara linaachwa kwenye kibanda cha mlinzi😀
 
JANA NILIKUWA WILAYA YA MKINGA TANGA KIJIJI CHA DARUNI WALIKUJA KWENYE MIGODI YA MADINI WAKIHAMASISHA WATU KUJIANDIKISHA WANASEMA HATA UKITOKEA MANYARA AU TABORA HAKUNA SHDA WW JIANDIKISHE.KUMBUKA HUO MGODI UNA KM MIEZ 2
 
Back
Top Bottom