LGE2024 Kama lile ndio Daftari la kujiandikisha kupiga kura, Professor Assad yuko Sahihi kuwa hatapiga kura

LGE2024 Kama lile ndio Daftari la kujiandikisha kupiga kura, Professor Assad yuko Sahihi kuwa hatapiga kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hata mimi siwezi kupiga kura kwa daftari kama lile naona limekaa kimizengwe sana mara aakwenda nalo mwandikishaji nyumbani mara linaachwa kwenye kibanda cha mlinzi😀
Ni ujinga mtupu kwa kweli, hata wale Vijana wanaondikisha laini mtaani Wana nafuuu
 
Huyo mgombea angejipanga sehenu ngapi? Firia mbunge ukubwa wa jibu au hata tu diwani. Unakuta Kata moja ina vijijini ht vinne na viko mbalimbali kuunda hiyi Kata je huyo mgombea ataenda kusimama wapi ili wananchi wakajipange mbele yake?
Atakuwa anazunguka. Leo vijiji vitatu, kesho viwili kesho kutwa vijiji sita. Huko kote anachaguliwa kwa wananchi kujipanga kwa wampendaye
 
JANA NILIKUWA WILAYA YA MKINGA TANGA KIJIJI CHA DARUNI WALIKUJA KWENYE MIGODI YA MADINI WAKIHAMASISHA WATU KUJIANDIKISHA WANASEMA HATA UKITOKEA MANYARA AU TABORA HAKUNA SHDA WW JIANDIKISHE.KUMBUKA HUO MGODI UNA KM MIEZ 2
Wako Sahihi, daftari hata attendance sheet iko comprehensive kuliko lile, daftari kama karatasi ya wapiga kelele darasani
 
Unakwenda kupiga kura sehemu unapojulikana! Tunajuana Mtaani!
Ulitaka utumike utaratibu upi?
Njia Rahisi na uhakika ni kujipanga mbele ya mgombea unayemtaka! Kwanza hiyo, ingepunguza gharama nyingi za uchaguzi!
Umeishia darasa la ngapi mwezentu!!!
Huu utaratibu wa uandikishaji ni UJINGA mtupu na style hii ya kujiandikisha unaweza kujiandikisha zaidi ya mitaa 10 na hakuna kitu kitajulikana
 
Nilipowasikia chadema wanasema wamekubali kushiriki chaguzi hizi nikajisemea kimoyomoyo kuwa kumbe hii nchi ina wapinzani wajinga Sana!
Kabla ya kuwaita wajinga, Anza na walioliandaa
 
Unakwenda kupiga kura sehemu unapojulikana! Tunajuana Mtaani!
Ulitaka utumike utaratibu upi?
Njia Rahisi na uhakika ni kujipanga mbele ya mgombea unayemtaka! Kwanza hiyo, ingepunguza gharama nyingi za uchaguzi!
Wewe unawajua watu wangapi wa mtaani kwako??
 
Mtu mjinga pekee ndiye anayepiga kura kwenye nchi hii,ukiwa na akili timamu hutokaa upige kura kamwe Kwa mambo ya kijinga wanayoyafanya CCM!
Duh, nimejiandikisha na nitapiga Kura ili kujenga base kwenye hoja zangu Mpwa. Tusije kuambiwa tuna piga kelele kumbe hata hatujajiandikisha
 
Jana nilienda kujiandikiasha ili kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa. Nikakuta kumbe unataja majina yako matatu, unaweka sahihi, msimamizi nae anaweka sahihi halafu ndio imetoka hivyo.

Yaani Nikajiuliza na kucheka tu, ni Watu wangapi wataingizwa ambao ni fake? Waandaaji wameshindwaje hata kutumia akili za kawaida Tu nyingine kuchukua tahadhari ya Watu wasiostahili kutokuingizwa au kuandikwa?

Kwa muktadha huu, Watu WA CCM wataenda kujifungia na hili daftari na kuandika majina yoyote kwa idadi yoyote ile na HAKUNA kitu kitatokea.

Nishauri Tu kuwa, ni muhimu sana kutumia akili zetu KULIKO SIASA kwenye kitu muhimu kama hiki.
.
Daftari gani huulizwi hata unaishi wapi, huulizwi kitambulisho, huulizwi taarifa zozote zile zaidi ya kutaja jina na kusaini?

Leo nitaenda kujiandikisha kituo kingine tena na nitawapa mrejesho na mniambie kama kuna umuhimu WA uchaguzi wa kipumbavu namna hii
Kwamba hakuna kitambulisho chochote kinachohitajika ili mtu ujiandikishe?! Hayo yatakuwa ni maajabu mengine!
 
Duh, nimejiandikisha na nitapiga Kura ili kujenga base kwenye hoja zangu Mpwa. Tusije kuambiwa tuna piga kelele kumbe hata hatujajiandikisha
Binafsi sijawahi na sitakuja kupiga kura kwenye hii nchi,hata kitambulisho Cha kura tu Sina na sikihitaji!
 
Wakati wa kupiga kura Kuna alama unapewa na haifutiki kirahisi ndi ya masaa 24. Kwa hiyo itakuwa vigumu kufanya kitendo hicho kiovu
Sasa kuna haja gani ya kujiandikisha kabla ya uchaguzi?? Si watu wangesubiria tu siku ya uchaguzi unapiga kura kisha unajiandikisha hapo hapo kwa wakati mmoja.
 
Hakuna hata app mkuu ni counter book, kimsingi ni uchaguzi wa kishenzi sn, utasikia sasa gharama walizotumia ni mabilioni ya walala hoi kwa haya maigizo yao ya kijinga
upumbavu wa hali yajuu mambo yanaoendelea kwenye hivo vituo,kwanza unakuta anayesimamia uandikishaji kaletwa tu toka huko na siyo wa sehemu husika
 
Jana nilienda kujiandikiasha ili kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa. Nikakuta kumbe unataja majina yako matatu, unaweka sahihi, msimamizi nae anaweka sahihi halafu ndio imetoka hivyo.

Yaani Nikajiuliza na kucheka tu, ni Watu wangapi wataingizwa ambao ni fake? Waandaaji wameshindwaje hata kutumia akili za kawaida Tu nyingine kuchukua tahadhari ya Watu wasiostahili kutokuingizwa au kuandikwa?

Kwa muktadha huu, Watu WA CCM wataenda kujifungia na hili daftari na kuandika majina yoyote kwa idadi yoyote ile na HAKUNA kitu kitatokea.

Nishauri Tu kuwa, ni muhimu sana kutumia akili zetu KULIKO SIASA kwenye kitu muhimu kama hiki.
.
Daftari gani huulizwi hata unaishi wapi, huulizwi kitambulisho, huulizwi taarifa zozote zile zaidi ya kutaja jina na kusaini?

Leo nitaenda kujiandikisha kituo kingine tena na nitawapa mrejesho na mniambie kama kuna umuhimu WA uchaguzi wa kipumbavu namna hii
 
Attachments

  • Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
    Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
    420.8 KB · Views: 1
Staili hii ya uandikishaji, hata majina marehemu yatawekwa Ili tu kuonesha mwitikio ni mkubwa
 
...then tutasota pamoja kwa kulipia muhuri kwa mwenyekiti wa mtaa tukitaka huduma...
Neno hili! Lakini, wanasema pale unachangia maendeleo ya Mtaani na Wala hakuna kiwango. Mambo haya, inabidi tushiriki vikao vya Mtaani tupate ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom