Msipoteze muda na wachumia tumbo hawa yeye alisema amekuja kudai million 100 ya bunge so siasa ni ziada tuKwa uelewa wangu, serikali inajiendesha kutokana na Kodi zinazolipwa na wananchi wake
Katika hotuba ya Lissu, alipinga Kodi zote ambazo serikali inazikusanya na kuzitumia kulipa polisi waliokuwa wanalinda mikutano yake, kujenga uwanja wa ndege, kulipa mishahara, kujenga lami ambayo wafuasi wake Jana walifika mikutanoni bila kuwa na vumbi.
Je anatuahidi kufuta Kodi zote, nchi ataiendeshaje? Au Ulaya alikokuwa ana wajomba zake ambao wamemuahidi kumpa trilioni mbili Kila mwezi?
Kwani kabla ya hizo kodi anazopinga Lissu, nchi iliendeswaje? Au nchi zisizo na hizo kodi, zinaendweshaje? Jibu haya maswali ili tuone kama una akili au la.Kwa uelewa wangu, serikali inajiendesha kutokana na Kodi zinazolipwa na wananchi wake.
Katika hotuba ya Lissu, alipinga Kodi zote ambazo serikali inazikusanya na kuzitumia kulipa polisi waliokuwa wanalinda mikutano yake, kujenga uwanja wa ndege, kulipa mishahara, kujenga lami ambayo wafuasi wake Jana walifika mikutanoni bila kuwa na vumbi.
Je, anatuahidi kufuta Kodi zote, nchi ataiendeshaje? Au Ulaya alikokuwa ana wajomba zake ambao wamemuahidi kumpa trilioni mbili Kila mwezi?
Weka na hiyo clip akipinga serikali isikusanye kodi!!Kwa uelewa wangu, serikali inajiendesha kutokana na Kodi zinazolipwa na wananchi wake.
Katika hotuba ya Lissu, alipinga Kodi zote ambazo serikali inazikusanya na kuzitumia kulipa polisi waliokuwa wanalinda mikutano yake, kujenga uwanja wa ndege, kulipa mishahara, kujenga lami ambayo wafuasi wake Jana walifika mikutanoni bila kuwa na vumbi.
Je, anatuahidi kufuta Kodi zote, nchi ataiendeshaje? Au Ulaya alikokuwa ana wajomba zake ambao wamemuahidi kumpa trilioni mbili Kila mwezi?
Mjadala unaendeleaKwa uelewa wangu, serikali inajiendesha kutokana na Kodi zinazolipwa na wananchi wake.
Katika hotuba ya Lissu, alipinga Kodi zote ambazo serikali inazikusanya na kuzitumia kulipa polisi waliokuwa wanalinda mikutano yake, kujenga uwanja wa ndege, kulipa mishahara, kujenga lami ambayo wafuasi wake Jana walifika mikutanoni bila kuwa na vumbi.
Je, anatuahidi kufuta Kodi zote, nchi ataiendeshaje? Au Ulaya alikokuwa ana wajomba zake ambao wamemuahidi kumpa trilioni mbili Kila mwezi?
Simpo tu weka hiyo video au link tuone. Maana labda kuna Lissu mwingine unamuelezea. Ulivyo taahira unadhani mtandaoni unaingia wewe na mamako tuUnaishi Dunia ya wapi? Kila kitu utafuniwe
Hata Mrema alipokuwa anasema kwenye kampeni za 1995 kuwa sisi NCCR tukishinda uchaguzi tutaondoa Kodi ya Kichwa Na Ushuru wa baiskeli na mifugo,CCM wengi waliponda na kusema atatoa hela wapi ya kuendesha Serikali?Cha ajabu Mkapa alivyoshinda Urais alikuja kuondoa kodi ya kichwa na ushuru wa baiskeli,na ndio wakati nchi ilipaa kiuchumi na Tanzania ikajulikana ulimwenguni.Kwa hiyo usibeze hoja,bali ifanyie kazi uone kama inalipa au hailipi,kupanga ni kuchagua.Kwa uelewa wangu, serikali inajiendesha kutokana na Kodi zinazolipwa na wananchi wake.
Katika hotuba ya Lissu, alipinga Kodi zote ambazo serikali inazikusanya na kuzitumia kulipa polisi waliokuwa wanalinda mikutano yake, kujenga uwanja wa ndege, kulipa mishahara, kujenga lami ambayo wafuasi wake Jana walifika mikutanoni bila kuwa na vumbi.
Je, anatuahidi kufuta Kodi zote, nchi ataiendeshaje? Au Ulaya alikokuwa ana wajomba zake ambao wamemuahidi kumpa trilioni mbili Kila mwezi?
Nchi itaendeshwa kwa TOZOKwa uelewa wangu, serikali inajiendesha kutokana na Kodi zinazolipwa na wananchi wake.
Katika hotuba ya Lissu, alipinga Kodi zote ambazo serikali inazikusanya na kuzitumia kulipa polisi waliokuwa wanalinda mikutano yake, kujenga uwanja wa ndege, kulipa mishahara, kujenga lami ambayo wafuasi wake Jana walifika mikutanoni bila kuwa na vumbi.
Je, anatuahidi kufuta Kodi zote, nchi ataiendeshaje? Au Ulaya alikokuwa ana wajomba zake ambao wamemuahidi kumpa trilioni mbili Kila mwezi?
Maendeleo hayashuki kama mana jangwaniHata Mrema alipokuwa anasema kwenye kampeni za 1995 kuwa sisi NCCR tukishinda uchaguzi tutaondoa Kodi ya Kichwa Na Ushuru wa baiskeli na mifugo,CCM wengi waliponda na kusema atatoa hela wapi ya kuendesha Serikali?Cha ajabu Mkapa alivyoshinda Urais alikuja kuondoa kodi ya kichwa na ushuru wa baiskeli,na ndio wakati nchi ilipaa kiuchumi na Tanzania ikajulikana ulimwenguni.Kwa hiyo usibeze hoja,bali ifanyie kazi uone kama inalipa au hailipi,kupanga ni kuchagua.
Kwa walioshudia mfumo wa chama kimoja Tanzania maendeleo yake na tulioshuhudia maendeleo katika mfumo wa Vyama vingi tunakuona tu wewe ni mchawi na kama siyo mchawi umetoka katika familia ya Wanyonyaji.Maendeleo hayashuki kama mana jangwani
Hata mishahara ni shida kwenye huo huo utitiri wa kodi.duh,hatari sana.ila utitiri wa kodi ni mkubwa sana na mikopo pia mikubwa mwisho wa siku hata madawati akuna mshiko unaenda wapi?
Badala ya kufanya hayo bora ungeenda kuupokea mwaili wa kamandaWeka na hiyo clip akipinga serikali isikusanye kodi!!
Ni jinga linalojiamini. Na hii ndio maana manyumbu kibao yanalifuata🚶🚶🚶Kwa uelewa wangu, serikali inajiendesha kutokana na Kodi zinazolipwa na wananchi wake.
Katika hotuba ya Lissu, alipinga Kodi zote ambazo serikali inazikusanya na kuzitumia kulipa polisi waliokuwa wanalinda mikutano yake, kujenga uwanja wa ndege, kulipa mishahara, kujenga lami ambayo wafuasi wake Jana walifika mikutanoni bila kuwa na vumbi.
Je, anatuahidi kufuta Kodi zote, nchi ataiendeshaje? Au Ulaya alikokuwa ana wajomba zake ambao wamemuahidi kumpa trilioni mbili Kila mwezi?
kwani anadai? si mlisema kule bungeni kipindi cha yule mpumbavu mwenzenu kwamba kalipwa sasa hizo 100ml ni zipi?Msipoteze muda na wachumia tumbo hawa yeye alisema amekuja kudai million 100 ya bunge so siasa ni ziada tu
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kodi zimeanza tulipoanza tozo?Serikali haina shamba, inaendeshwa kwa Kodi.